View attachment 212137
Fredrick Samuel.?
hawa wazee wetu wanauliza Mbona toka umeondoka nyumbani mpaka leo Zile pesa hujarudisha?
Hujui km Umetuacha na hali ngumu sana kuondoka na mtaji wote wa mzee?
Nimeamua kuweka Picha kabisa ili labda roho yako Irudi fredrick.
Halafu unaamua kujiita
Matola kwa nini?
We unafahamu Mama kahifadhiwa tu na huyu bwana. Na hali yakw inakuwa mbaya Kila siku Unavyozidi kuchelewa kuzirudisha hizo pesa.
Naskia Unakula Mirungi kila siku na Kina FAHMI mwarabu .
Mimi km ni ndugu yako nakuomba rudisha huo mtaji wa baba wa shs 600,000 uliokwiba. Maisha yanazidi kuwa magumu mno hapa nyumbani.
Nakuomba sana.
Halafu mwanao SAMIRA umemuacha hapa Sinza hana hata ada ya shule. Umezaa na mwanamke mitaani hata hajulikani mamake yuko wapi. Na juu ya kuwa mwanao yuko hapa lkn pesa umeondoka nazo.
Wako kakako mpendwa Samuel