deepsea
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 3,287
- 947
Joseph Msami alimshauri Milard Ayo kwenda shule form four bado ni elimu ndogo hakumuelewa sasa mtaelewa kwa vitendo maana ya Profesinalism.
Anaekelwa na Salim Kikeke anapotangaza taarifa ya habari kwenye BBC swahili saa tatu usiku na anyooshe kidole hapa nimuone.
Nimekumbuka hii kitu mpwa aliisema jamaa kwenye mkasi yalikuwa maneno nkuntu