Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,163
- 2,609
Habari za muda huu wakubwa. I hope mko fresh, Eeh bhana Jana ya tarehe 20 mwezi wa4 2020 ambayo ilikua ni siku ya kuvuta bangi duniani, Good weeda smoke Dadiyeeh in da world.
Iyo siku ya Jana Clouds Media Group Waliamua kufanya kitu cha kibunifu baada ya muda mrefu kukwambia hutojutia, walianza asubuhi kwenye kipindi cha Power breakfast kwa kuvunja sheria ya kipindi na kuanzisha kipindi chao wenyewe,hii ni baada ya Watangazaji Kapiteeeeiiin Gardner G Habash wa Jahazi, Triple P poor people president, AD+ Adam Mchomvu wa XXL na Soso Fresh, Alex Luambano wa Sports Xtra, Jose Mara wa Leo tena, Prisca Kishamba na DJ Sinyorita ku'run show lao wenyewe kuanzia saa1 asubuhi hadi saa4..
Muda wa Leo tena ambao ni saa4 hadi 7 mchana ulivamiwa na Mamy Baby wa XXL na Top20, George Bantu wa Jahazi, Kotinyo wa Sports Xtra, Soudy Brown wa SHILAWADU & XXL na DJ D Ommy..
Alaf Mr.Countdown Millard Ayo wa Amplifier, Cza wa Power breakfast, Mbwiga wa Sports Extra na Husna Abdul wa Leo tena na DJ Too Short,walivunja sheria za XXL na kuanzisha pindi lao..
Boooooh! Honi la Jahazi lilizimwa na Wajuba wa5, Bdozen, B12, Twangala Twizzy toka XXL, Reuben Ndege aka Ncha kalih, Hamis Dakota delavida aka Abracadabra, Sam Sasali aka mchungaji toka Power breakfast na Clouds 360, Yahya Mohammed aka Mkazuzu toka Sports Extra na DJ Scratch designer.
Saa1 hadi 3 muda wa Amplifier ulivamiwa na Masoud Kipanya KP wa PB,Ghea Habib wa Leo tena, Perfect Crispin wa XXL Edigar Kibwana wa Sports Xtra na James Tupatupa na DJ Feruuh..
Sports Xtra ilisalia vile vile haikuvunjiwa sheria,,lakini Ala za Roho ilivunjiwa sheria na Meena Ally wa XXL kama sio Amplifier, Mussa Hussein Mwana DSM wa Leo tena,Dr.Issac Maro wa Njia panda,Shaffih Dauda wa Sports Xtra na DJ Zero ambao wali'run show kwa masaa12 hadi Leo saa4 asubuhi.
Kiukwel nimeskiliza vipindi vyote, kuna vipindi ambavyo watangazaji hawana Chemistry kabisa kutokana na hawajawahi kufanya kazi katika kipindi kimoja, pia baadhi ya vipindi kuna presenters wanaongea zaidi kuliko wengine mfano Meena Ally na Mussa Hussein walikua wanamficha Dr. Isaac Maro maana sio muongeaji, yaani kama hayupo. Pia Cza alikua anamfanyia sana interview mbwiga huku maswali mengine yakiwa hayana ulazima ili tu wacheke.
On my side pindi ambalo limekaa mkao ni Wajuba in the Building (Bdozen,Dakota,Sam Sasali,Ncha kalih na Mkazuzu)Twangala kama Main host mic number moja ameweza kuwa'control wenzake (Co hosts) vizuri na Chemistry imeonekana ipo between em' alaf wanafata kina Gardner, Mchomvu,Jose Mara,Kishamba nk..
Ebu nambie kwa upande wako ni mjengo upi Umeuelewa?(4 Clouds Listeners Only)
@NgarenaroBoy.