Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Unajua watu huwa Wanataja hela kama vile wapo kwenye vijiwe vya Bangi. Anatamka mamilioni ya Dola kama vile anaongelea maandazi
 
Ngada hela yake ya kawaida sana. Bora mtu ujikite tu kwenye biashara ya mayai ya kware na matikiti. Masogange alikuwa anabeba magunia na magunia ya ngada lakini laifu yake ilikuwa ya kawaida tu.
Punda malipo yake ni tofauti na mwenye mzigo. Huyo uliyemtaja alikuwa Punda tu
 
Per month tu anakusanya nyingi. Kuna mada ilisha wahi kuwekwa humu. Maxmelo nae alikuwemo kwenye top 5 kama sikosei kati ya wanaofanya vyema kwenye vipato vya kila mwezi kupitia mambo ya mitandao
Tuwajue watu wanaokusanya kupitia Tax Returns zao na sio assumptions za vijiweni.
 
AkihamamClouds basi tambua Social accounts zake zote (Youtube, Facebook, Instagram, twitter nk.) zote zinabaki kuwa mali ya Clouds Media Group) , hata hilo jina la Millard Ayo ni mali ya CMG, hata hilo jina la Amplifier ni la CMG. Sasa akitaka kuhama navyo watamwambia alipe dola milion 5 kwa mfano, atabako na nini sasa?
We unaongea nini? Ni nini hiki umeandika? Yani jina la mtu liwe mali ya kampuni? Kuna mambo mengine ni ya ndani huwezi jua ila hapa kwenye jina na social media ID umetupiga. Millard ni jina lake since then toka namfaham ni jina lake rasmi kabisa hata kwenye vyeti vyake ndo majina yanayo tumika iweje jina libaki mali ya kampuni?...
 
Aanzishe redio kwa sababu ya kipindi kimoja

Labda Redio ya mtandaoni
Tatizo watu wanaropoka ropoka tu. Wanadhan kurun kampuni ni rahisi rahisi.

After all nnacho jua kila mtu ana malengo yale kuna mtu anae lipwa 10m per month (take home) na karidhika na maisha.

Kuna mwingine kapata ivi atajiajiri then aachane na ajira.

Hamna mwenye makosa apo
 
Akheri huko wameru walipowatahiri Wajerumani kwa nguvu na kuwaua. Ila wameru bana. Kuna siku nshupu tulikuwa na opereshen ya kusaka magovi yani tukiyapata kwanza tunayashushia mkong'oto wa maana halafu tunayatairi.
Sio tu kuwatahiri, bali na kuwazika hai. Na kama haikutosha makaburi yakala cheni juu. Sasa huko Akheri ndio kwao Millard

Sent from my SM-A7000 using JamiiForums mobile app
 
We unaongea nini? Ni nini hiki umeandika? Yani jina la mtu liwe mali ya kampuni? Kuna mambo mengine ni ya ndani huwezi jua ila hapa kwenye jina na social media ID umetupiga. Millard ni jina lake since then toka namfaham ni jina lake rasmi kabisa hata kwenye vyeti vyake ndo majina yanayo tumika iweje jina libaki mali ya kampuni?...
Waulize ‘Ze comedy’, watakufafanulia vizuri. Ni jina lake katika ubinafsi, lakini katika ulingo wa media si lake.
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Kuna haja gani ya kuiacha blog yake inayomlipa na kuanzisha kitu kingine?

Sasa hivi kwa hapa Bongo yeye ndiye "mogul wa blogs na online Tv, he is a King in that sector. Kuna haja gani ya kuanzisha Radio Station au Tv station na kuanza ushindani wa wateja wa matangazo?
 
Waulize ‘Ze comedy’, watakufafanulia vizuri. Ni jina lake katika ubinafsi, lakini katika ulingo wa media si lake.
Si unaona mambo yako jinsi huelewi unayo andika siku nyingine usikurupuke sawa?.

Kama umeamua kutoa mfano wa "Ze comedy" basi tolea mfano majina halisi (kwenye vyeti) ya walio kua kwenye kipindi mfano LUCAS MHUVILE a.k.a JOTI.

Mbali na kwamba JOTI ni jina lake la sanaa bado aliondoka nalo na bado analitumia, itakua uyo Ayo?

Hamis Mandi (Bdozen) unamjua? Alikua wapi na yupo wapi?

Siku nyingine acha uongo hauto kusaidia
 
Hahah

Hahah, ndio nikasema, hata kama ni jina lake, ili mradi amelitumia katika ulingo wa media, si lake, maana yeye hakutaka nickname, ni uamuzi wake, ila kwakuwa kalitumia katika ulingo wa media, basi atalinunua kabla hajakabidhiwa kuondoka nalo, hata Joti kalipa kuondoka nalo. Muulize Harmonize akupe ufafanuzi, ilikuaje wakati wa kuhama WCB, au Rayvanny, kinachomkwamisha kuhamia NLM music mazima, ni nini?

Hivi nani taahira akupe platform ya kukuza account zako binafsi for years and years bure tu, taahira huyo anapatikana wapi?!

Muulize Zuchu, ndio anaingiza pesa nyingi kuliko wote WCB, lakini hata gari ni hadi azawadiwe na Diamond, hakuna mjinga akukuze kama Zuchu namna hii alfu leo ubame pua useme unaondoka, Zuchu ataacha kila kitu pale WCB..., hata hilo jina la Zuchu ni mali ya WCB, hakuna mjinga wa hivyo....

Ule muda Ayo anaotumiaga kuambia watu waende kuangalia count down kwenye platform zake si bora waweke matangazo ya pepsi tu 😂😂😂
 
Ule muda Ayo anaotumiaga kuambia watu waende kuangalia count down kwenye platform zake si bora waweke matangazo ya pepsi tu
Nimekuuliza Hamis Mandi (B Dozen) unamjua?
Kaondoka na Jina lake au kaliacha?

Kuhusu mali na jina la kipindi sifahamu lolote ila BDozen uyo uyo kaondoka na Jina lake na alikua na section yake kwenye XXL inaitwa Dozen Selection nayo aliondoka nayo. Fanya utafiti wako vizuri wengi wanakuaga na creativity zao

Nafikiri unashindwa kuelewa kitu kimoja majina ya watu hayawezi kuwa mali ya kampuni hata kidogo.

Uko kwenye social media habari nyingi anazo zitoa 98% hata kwenye Radio (clouds fm) huwezi zisikia na utakazo zisikia redioni basi utazikuta kwenye media baada ya kipindi kuisha.

Ally Mosound Nyomwa (Masoud kipanya) kaingia na jina lake clouds so unataka kusema na yeye akiondoka ataliacha?
Kipanya inafanya vizuri sana Mwananchi utasema clouds nao ndo wanabenefit apo si ndio?
 
Hahah

Hahah, ndio nikasema, hata kama ni jina lake, ili mradi amelitumia katika ulingo wa media, si lake, maana yeye hakutaka nickname, ni uamuzi wake, ila kwakuwa kalitumia katika ulingo wa media, basi atalinunua kabla hajakabidhiwa kuondoka nalo, hata Joti kalipa kuondoka nalo. Muulize Harmonize akupe ufafanuzi, ilikuaje wakati wa kuhama WCB, au Rayvanny, kinachomkwamisha kuhamia NLM music mazima, ni nini?

Hivi nani taahira akupe platform ya kukuza account zako binafsi for years and years bure tu, taahira huyo anapatikana wapi?!

Muulize Zuchu, ndio anaingiza pesa nyingi kuliko wote WCB, lakini hata gari ni hadi azawadiwe na Diamond, hakuna mjinga akukuze kama Zuchu namna hii alfu leo ubame pua useme unaondoka, Zuchu ataacha kila kitu pale WCB..., hata hilo jina la Zuchu ni mali ya WCB, hakuna mjinga wa hivyo....

Ule muda Ayo anaotumiaga kuambia watu waende kuangalia count down kwenye platform zake si bora waweke matangazo ya pepsi tu 😂😂😂
Umeongea ukweli , Millard Ayo ana ubillionare gani kama sio kupean a sifa za kijinga, kama ni billionare anashindwa vip kutengeneza media yake mpak akina Sallam wamemshinda Wana media zao??? Ndo hayo sasa mshikaji kawekeza jina Ila kuna wahuni wanamtafunia mrija , kama Rayvanny na label yake ya kupigia picha
 
Watu mnabisha for nothing. Wanzetu wamewekeza kwenye tafiti so wanachosema huwa kimefanyiwa tafiti basi nenda forbes ukawabishie maana wamesha sema sasa hutaki acha...
 
Wapi Forbes wamesema Millard Ayo ni billionare , ili ninyamaze
 
Back
Top Bottom