Jeff Bezos arudi kwenye nafasi yake, Elon Musk Apoteza $14bn kwa siku moja

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Siku 5 baada ya Elon Musk kutangazwa kwa mara ya kwanza kuwa mtu tajiri zaidi duniani baada ya share zake katika kampuni ya magari ya umeme kupanda kwa 4.8% na kufikisha utajiri wa $186bn na kukaa juu ya Bezos kwa $1.5bn zaidi, leo hii kashuka tena...

Kushuka kwake sio kama Bezos amepanda kwa kasi, Maana Bezos mwenyewe Jana tuu kachoma $3.6bn baada ya share zake kushuka kwa 2%,

Ila Musk yeye leo kaenda mbali zaidi kwa kupoteza Takriban $13.5bn za utajiri wake baada ya share zile zile zilizompandisha leo hii kushuka kwa 8.0% na,
Musk Tayari alikua amefikisha $189.7bn, ila sasa Ana $176.2bn.

Hizi habari ni za kuaminika kutoka kwa Forbes

----
Elon Musk Falls To Second Richest Person In The World After His Fortune Drops Nearly $14 Billion In One Day

After a brief stint as the wealthiest person on the planet, Tesla billionaire Elon Musk is again the second-richest person in the world after his fortune fell by nearly $14 billion in one day.

Shares of his electric-vehicle maker, Tesla, fell by nearly 8% on Monday, pushing Musk’s net worth down by $13.5 billion, to $176.2 billion. After briefly overtaking Amazon CEO Jeff Bezos as the world’s richest person last Friday, Musk has again fallen to second spot, according to Forbes’ estimates.

He is now about $6 billion behind Bezos, who has a net worth of $182.1 billion. Shares of Amazon fell by more than 2% on Monday, lowering Bezos’ net worth by $3.6 billion.

Over the course of 2020, Musk received several tranches of options worth billions of dollars each as Tesla hit various market capitalization and EBITDA milestones. The board of directors of Tesla certifies the award of each tranche, and then issues a statement in a regulatory filing with the Securities and Exchange Commission. Musk appears to be eligible for another tranche of 8.44 million options—worth around $6.25 billion as of Monday’s closing price—but Forbes hasn’t yet attributed these options to Musk because the board hasn’t publicly certified them. (Bloomberg appears to count Musk’s latest tranche of options in its net worth calculations for Musk.)

Fueled by the skyrocketing Tesla share price, Musk’s fortune has increased by around $150 billion since March 2020, when he was worth $24.6 billion. Tesla’s stock rose more than 720% in 2020, and has already gained another 12% in the first week of 2021. Tesla joined the S&P 500 Index in late December 2020, a move that drove the stock higher as well. The world’s most valuable automaker, Tesla produced half a million cars in 2020—a fraction of the production at global giants like GM and Toyota.

Despite Musk’s drop on Monday, he is still some $20 billion richer than the third richest person in the world, French luxury tycoon Bernard Arnault (worth $154.6 billion today).

Source: Elon Musk Falls To Second Richest Person In The World After His Fortune Drops Nearly $14 Billion In One Day
 
Yaani utajiri aliopoteza Musk ndani ya Masaa ni sawa na Utajiti wote Wa tajiri namba 1 afrika(Dangote),
Kuikweli kabisa..utajiri wa hisa ni tofauti kabisa na utajiri wetu sisi waafrika.

Dangote kwa asset na cash aliyonayo, anaweza amawa hata ndani ya kumi bora ya matajiri wa Dunia.

Utajiri wa Elon na Jeff uko tied na ongezeko la thamani a hisa kwenye kampuni wanazoziongoza. Siutajiri wa cash...

Hisa its a tricky business.....zinapanda na kushuka muda wowote based on speculations tu. Na wakati mwingine ni ngumu kubadili hisa kuwa cash. Maana ili upate cash unayoitaji unapaswa kuuza hisa zako, na mtu kama Elon musk akisema auze hisa zake hata asilimia moja tu, italeta tetemeko kubwa kwenye thamani ya hisa zake. Investors watahofia kununua hisa maana wanahisi hata CEO wao hana confidence na soko la hisa za kampuni ndo maana anauza zake...so kila mtu atataka kuuza hisa zake...na mwisho wa siku thamani ya hisa zitaporomoka.

So unaweza ukawa tajiri wa hisa na ukafa na njaa ndani ...tumeona wamiliki wa hisa za vodacom. Kuna watu wanamiliki hisa za million 20, na wamekwama kuzibadili kuwa cash..maana hakuna anaezitaka. Na wakati mwingine thaman yake inashuka, unakuta hisa ya 1000 sasa ni 500 tu..ukiuza unapata nusu tu ya kile ulichowekeza....

Huu utajiri wa hawa jamaa ni utajiri wa mapicha picha.....mwache dangote...na akina Ambani wa india. Hawa jamaa wana mawe kweli kweli...sio hisa tunazochezewa nazo akili.
 
Market is at the correction phase .

Here comes the bulls ,its time to go long

Bears be careful ain't no time for short action.
 
Utajiri was kina Ontario huu,Leo una dola 30,000 mwezi ujao umepanga chumba cha elfu arobaini buza,kituko.
Miaka kadhaa iliyopita, nishawahi kulamba dola 2,000, mara 5,000 mara 10,000, katika muda mfupi. Options trading.

Nikajiona najua.Kumbe market trend tu ilikuwa nzuri.

Nikaweka position moja very safe, ilikuwa napiga dola 2,000 kiulaini katika siku moja naona.

Mara weee, Wakatalunya wameandamana nini sijui wanataka kujitenga huko kwao, market likatank.

Long story short nilipigwa karibu $24,000, katika siku moja.

Ilibidi nirudi kujifua nizirudishe polepole.

Hela za Stock Market hazina guarantee.
 
Kuikweli kabisa..utajiri wa hisa ni tofauti kabisa na utajiri wetu sisi waafrika.

Dangote kwa asset na cash aliyonayo, anaweza amawa hata ndani ya kumi bora ya matajiri wa Dunia.

Utajiri wa Elon na Jeff uko tied na ongezeko la thamani a hisa kwenye kampuni wanazoziongoza. Siutajiri wa cash...

Hisa its a tricky business.....zinapanda na kushuka muda wowote based on speculations tu. Na wakati mwingine ni ngumu kubadili hisa kuwa cash. Maana ili upate cash unayoitaji unapaswa kuuza hisa zako, na mtu kama Elon musk akisema auze hisa zake hata asilimia moja tu, italeta tetemeko kubwa kwenye thamani ya hisa zake. Investors watahofia kununua hisa maana wanahisi hata CEO wao hana confidence na soko la hisa za kampuni ndo maana anauza zake...so kila mtu atataka kuuza hisa zake...na mwisho wa siku thamani ya hisa zitaporomoka.

So unaweza ukawa tajiri wa hisa na ukafa na njaa ndani ...tumeona wamiliki wa hisa za vodacom. Kuna watu wanamiliki hisa za million 20, na wamekwama kuzibadili kuwa cash..maana hakuna anaezitaka. Na wakati mwingine thaman yake inashuka, unakuta hisa ya 1000 sasa ni 500 tu..ukiuza unapata nusu tu ya kile ulichowekeza....

Huu utajiri wa hawa jamaa ni utajiri wa mapicha picha.....mwache dangote...na akina Ambani wa india. Hawa jamaa wana mawe kweli kweli...sio hisa tunazochezewa nazo akili.
Wewe jamaa ukichoandika aibu nimeona mimi walahi

1)Utajiri wa hisa; hakuna tajiri aliyekuwa ni wa Cash eti sio tajiri wa hisa matajiri wakubwa wote ni wahisa unasema Dangote kwa Cash alizonazo anaweza shika nafasi 10 bora huu ni ujinga ulioandika hapa Dangote utajiri wake ni kutokana na hisa anazomiliki Dangote Group na hakuna kampuni isiyo shuka na kupanda kwenye hisa mwaka 2020 tu juzi Dangote amepoteza utajiri wa kama Dollar Billion 4 sikumbuki vizuri kutokana na kuyumba kwa Hisa za Dangote Group, MO Dewji nayeye juzi tu kapoteza kama Dollar kama 0.4 Billion...Hakuna tajiri asiyeshuka na kupanda Duniani na hakuna tajiri asiyekuwa tajiri wa Hisa.

Kusema Dangote anaweza kulingana au kuwafikia wakina Bill, Larry Page, Musk ni ujinga uliotukuka...Liquidity(Cash) mtu ni siri ya mtu Economically mwenye utajiri mkubwa automatically anamiliki Cash nyingi mbali na Hisa Cash ya tajiri inakuwa generated na gawio analopokea kutoka kwenye kampuni yake ni upuuzi kusema mtu mwenye makadilio ya utajiri wa Dollar 45 Billion awe na Cash nyingi kuliko tajiri mwenye makadirio ya Dollar 190 Billion...ufupi tu Logically jumla ya utajiri wote alionao Dangote inaweza kuwa ni sawa Cash tu anayo Hold Elon Musk, Jumla ya utajiri wote anaomiliki MO inaweza kuwa ni sawa na Cash tu anayoHold Larry Page...mambo yanaenda hivyo.

Futa ujinga kwamba eti Musk, Bezos na Giants wengine ukifuta Hisa zao zote wanabaki hawana kitu hao jamaa wanaHold Cash nyingi sana kwenye mabank...fuatilia matumizi ya Cash anayofanya kama CEO wa ORACLE Larry Errison.

Kwenye mfano wa Voda ndio umepwaya zaidi yaani unachanya aina za Hisa yaani kwako mmiliki wa kampuni mfano Billgate anamili Microsoft So anahisa zake unamuweka sawa na anayenunua Hisa za Microsoft kwenye soko la Hisa tumwite Juma...So kwako Billgate na Juma ni sawa kwasababu umesikia juma kanunua Hisa Microsoft leo Hizi ni aina mbili tofauti za hisa...So unaposema nani kanunua Hisa za Voda kalala njaa mfano wako hauko valid ilitakiwa useme mmiliki wa Voda anayemiliki Hisa 30% kalala njaa kitu ambacho hakiwezekani mtu anayeHold Hisa 10% Voda ana Liquidity ya kukulisha wewe na familia yako miaka zaidi ya 1000...mfano wako umeonesha jinsi gani umekutupuka.
 
Kuna aliemwelewa huyu anifafanulie? Mo dewji anapitezaje 0.4 bil wakati hisa za kampuni yake haziko public traded.
 
Back
Top Bottom