Bunge lipi Mkuu?In short tuseme tu kuwa ana-abuse power tuliyompa ya u-kamanda-in-chifu vibaya mno
Kuna haja ya Bunge kuanza process ya kumu-impeach huyu Bwana kabla nchi yetu haijatumbukia jumla jumla shimoni

Vema 100%Nianze kwa kusema kwamba miaka mitatu inatosha
JPM anatumia Jeshi katika operesheni mbalimbali lakini je anaelewa kwamba The army has no loyalty?Katika siasa za majeshi mwanajeshi hafundishwi siasa ya loyalty anafundishwa survival.
Unapoamua kutumia Jeshi katika operesheni yoyote ila lazima iwe na lengo moja Kutishia,kuogopesha na kushurutisha.Lakini unapolitumia Jeshi kushughulika na mambo ya raia unatakiwa ujue kwamba mahaba kati ya Jeshi na Raia yanaweza kufanya kuibuka kwa mawazo ya kimapinduzi kwa wanajeshi hasa iwapo unawatumia kukandamiza wananchi na wanyonge.
Kumbuka Soldiers have no Loyalty,they train to survive.
Nimshauri tu mheshimiwa raisi hata kama hana imani na watendaji wa serikali yake awe makini na matumizi ya jeshi letu.
Asiwageuze wanajeshi wetu vibarua wakutumwa kushughulikia hata issue zisizo na maslahi ya taifa.
Ha wa watu hawajawa trained kubeba magunia ya korosho na kubangu,Hawajawa trained kujenga kuta na kufanya shughuli za suluba.Wamefundishwa Vita,Kama usipowapa Vita watakuletea Vita.
Dictators handbook unacho? Kisome vizuri.Nianze kwa kusema kwamba miaka mitatu inatosha

Kazi yao ni kulinda mipaka ya Nchi, na sio kubeba magunia.Sasa awatume majenerali katika operesheni,na baadae igundulike wamesababisha hasara ya mamia ya mabilioni,na yeye ajipange kuwapeleka mahakamani,hapo ndio wanajeshi watatumia survival technique ili wasipelekwe kortini
Jukumu la polisi ni kulinda raia na mali zao, jukumu la jeshi ni kulinda mipaka ya nchi.Kuna kazi zao muhimu, za kufanya sasa Raia wa kawaida wafanye shughuli gani? Maana wajeda sio wanasiasa kulinda mabenki hufanywa na kampuni za ulinzi sasa ukitumia wajeda Raia wengine watapata wapi kazi.
Very geniusSiku sio nyingi kutatokea Jeshi linalomuunga Mkono Magufuli na Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Wafanye kazi haswaaa maswala ya kukaa na kunywa Pombe ambazo zimeondolewa kodi na baadhi ya bidhaa utadhan wao ni RAIA wa Brunei hiyo sio sawa yani na korosho wabangue tu kwa Meno sindoukakamavu wenyewe huo mbona wanapasuaga mawe kwa vichwa? Na kila asubuhi inabidi wawe wanadeki na Barabara za lami maana hili ni jeshi letu
Watadesign mashine za kuhesabia shilling miaWe pusi wa uchochoroni, hujui kuwa Misri, Pakistan India na nchi nyingine wana kitu kinaitwa Military Industrial Complexes mfano wa mradi wa Nyumbu au Mzinga.
Hizi mnazoona siyo initiative ya jeshi. Jeshi wakilinda maduka watakuwa na muda gani kudesign vifaa vya kijeshi!
Hahaaaa...mkuu nilikuwa sijacheka siku nzima hahaaaLabda bunge la somalia na sii hiki kikao cha CCM kinachoketi chini ya Ndugai.
Hiki ndicho hasa alimaanisha mleta post, kwa komenti kama hii, in a long run, kutatokea kundi la Watu kama wewe ambao wataendelea kumsifu raisi kwa matumizi ya jeshi. Hii itamfanya aongeze kasi na majukumu zaidi. Kwa sababu hawa watu hawako trained kufanya hizi shughuli za kiraia, wapo watakaoanza kupingana na hizi amri na kurejea viapo vyao na wapo watakaoungana na raisi. Huu mgogoro suluhisho lake ni wananchi kuungana na upande usio wa raisi na haya ndo yanayoitwa mapunduziWafanye kazi haswaaa maswala ya kukaa na kunywa Pombe ambazo zimeondolewa kodi na baadhi ya bidhaa utadhan wao ni RAIA wa Brunei hiyo sio sawa yani na korosho wabangue tu kwa Meno sindoukakamavu wenyewe huo mbona wanapasuaga mawe kwa vichwa? Na kila asubuhi inabidi wawe wanadeki na Barabara za lami maana hili ni jeshi letu
Jukumu la polisi ni kulinda raia na mali zao, jukumu la jeshi ni kulinda mipaka ya nchi.
Majukumu hayo yapo kisheria.
Upofu upo hapaLakini lazima tujue kwamba yeye ni. Amiri jeshi. Mkuu kwa hiyo yeye ni sehemu ya jeshi ana mamlaka zote za kulitumia jeshi ingawa inaonekana ni kitu kigeni kidogo
Nami hua nashangaa sana,hi ile dhana ya urais ni taasisi siku hizi haipo?.kwamba amekua ni jeshi la mtu mmoja?.watamua/atajiuaa kwa msongoNchi hii bwana watu wameamua kukaa kimya hawmshauri Rais kabisa masikini Rais wetu kila kinacho mjia kichwani ndio anafanya.
Labda tu unapata shida kuelewa nilichokiandika na ndio maana unakuja na hiyo tafsiri potofu.
All in all, ninachojaribu kubainisha hapa ni kuwa hakuna mwanadamu asiyefanya kosa (No one is infallible) na kwa mantiki hiyo basi kumfanya mtu anayeshikilia taasisi ya urais aonekane kama isiyeweza kutenda kosa ni sawa na kumkufuru Mungu.