Milipuko yatikisa Zanzibar

Wakiwanaliza waKri watawageuki wanguj halafu waSuna halafu watatowea wangazije na kushushia n...
 

Ukisikiliza hotuba za baadhi ya watu wakati wa mikutano ya Uamsho pale Z'bar (moja imewekwa hapa hivi karibuni) unapata jibu hasa ni nini issue hapa. Maana jamaa wanavisingizio kibao kwa matatizo yao. Ni vizuri ukaisikiliza halafu utapata jibu
 

mjadala wa Posho ndo unahamishwa huo,,,,uleeeee.......
 

ila ni akili nzuri kupelekeshwa na watu wa mataifa ya kizungu? itakuwa mfuasi wa d camerun
 
Ilipaswa haya yafanyike ili mjadala waposho upite kimya kimya.
Hi ndo Tz
 
...mkuu' ni wahuni tu, kama wale walio haribu, kuvunja na kuchoma Makanisa mbalimbali hapa Tanzania (hasa kama wale wa Mbagala, baada ya kukojolewa kitabu)

mbona olasit arusha mnapotezea au kwavile mlifanya wenyewe?
 

tekbirrrrrrr
 
siyo matukio ya kufumbia macho hata kidogo!

wapo mataahira yanayowaza kufanikisha mawazo mgando yao ni kwa kupitia vurugu za kulipua mabomu na kuharibu mali.syria walianza na uzezeta huo huo leo kila mtu anaomboleza.acheni ujinga hamtafanikiwa leo hata kesho ...hamtaki muungano semeni,hamtaki wabara semeni,hamtaki ukristo wekeni mambo hadharani,na kama siasa za upinzani humo kanisani waumini ni mashabiki wa pande tofauti.
 
Watu wanataka kujitenga na wameonyesha dhahir kutuchukia, sasa sijui tunawang'ang'ania wa nini?

Yan mimi nashangaa sana watu wenyewe hawatusaidii kitu chochote zaidi ya kututia hasara tu.hawalimi, hakuna madini watu wake wwavivu yan hadi nyanya inatoka huku bara hawana maendeleo yoyote..tunawang'ang'ania wanini?? Tuwatupilie mbali huko ona sasa wanahifadhi magaidi kila siku matukio sijui wanataka nini!tena waondoke hapo ilala na kariakoo walipojazana tumewachoka kabisa
 
mtakomaa kifikra lini?mna hamu ya mapambano nendeni mkajifunze na kuona yanayowasibu wasirya,na wasudani-kule dafur
 

Hoja zako ni za kiCCM kukwepa ukweli na kutaka kuonyesha mambo ni sawa. Leo wanalipua Zanzibar lakini baada ya miaka michache watalipua majengo marefu hapa Dsm kama tutaendeleza sera hii iliyopitwa na wakati kuitawala Zanzibar.
 
Naona watu wanaongea kwa hisia kalii sn za udini kabla hata kujua what happened. Imesikika milio ya bom, jee kuna sehem yoyote imeripuliwa? Au hayo mabom yamekutwa kweli maeneo yanayosemwa? Hakuna lolote, naona watu wana hamu tu ya magaidi na mapigano ya udini Tz. Lkn in sha Allah Mungu atatuepushia mbali na.hayo
 
ni ukosefu wa akili..wapewe masaa 24 waondoke bara

tuache kuwabembeleza na kuwade
keza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…