Bijou
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,249
- 360
Wamezoweya kulipuwana ma kanisa wenyewe kwa wenyewe badae utasikia uislam mburula we
Waislam si ndiyo ibada hiyo au?
Wamezoweya kulipuwana ma kanisa wenyewe kwa wenyewe badae utasikia uislam mburula we
Unahitaji kuwa na akili ya mwendawazimu kuwaza haya
Targeted ni Christians - kama unajifanya hujui basi kaa hivyo hivyo.Si kila mKristo wa Zanzibari ametokea bara...Jaji mstaafu Mch. Augustino Ramadhani ni mZanzibari kabisaaa. Arudi wapi sasa?
Potezea ya matokeo ya Csee na posho iyo.
Nimeisikia live redioni sasa hivi Faruq Karim akiripoti kuwa imetokea milipuko kwanza hoteli ya Forodhani kisha muda mfupi tena kwenye lango la kanisa la anglikani mkunazini huko Zanzibar. Walioko huko watatujuza zaidi
Source: Radio one zilizotufikia
Potezea ya matokeo ya Csee na posho iyo.
Hamna vifo huko?
Watu wanataka kujitenga na wameonyesha dhahir kutuchukia, sasa sijui tunawang'ang'ania wa nini?
Maafa ndo yanayotakiwa
Maafa ndo yanayotakiwa
mbona unapinga msimamo wa chama chako!?Watu wanataka kujitenga na wameonyesha dhahir kutuchukia, sasa sijui tunawang'ang'ania wa nini?
Wewe unazungumzia Milipuko ya Zanzibar tu, vipi ya hapa kwetu Soweto katika Mkutano wa CDM na lile lililomkosa Mnyika Pale Ubungo na Polisi kusema limelipuka kwa bahati mbaya cha kujiuliza walikwendaje na Bomu katika mkutano wa CHADEMA pale Ubungo? kutokana na kutopatikana majibu juu ya matukio haya moja kwa moja nawahusisha POLISI na milipuko hii na inawezekana kabisa huwa wanafanya kwa malengo mahususi ya kuwahamisha watu kwenye mada muhimu zinazohusu mustakabari wa KITAIFA.tunaitaji majibu ya kina,maana haiwezekani nchi ni moja ila kila siku ni milipuko huko visiwani,hawa watu wanapitisha wapi hizi silahaa ama vilipuzi?mtu anashuka bandarini dar anaingia navyo mpaka visiwani,IGP na AMIRI JESHI MKUU JK tunaitaji majibu ya kina kama usalama umewashinda mtuambie mapema