Mila hizi za Kichaga mnazionaje wenzangu

ni kweli wanachosema ila inategemeana na mchaga wa sehemu gani..... Lakuchimba mifupa ya marehemu ilikuwa kwa ajili ya kuweka ulinzi kwenyi mipaka ya mashamba na ukivuka pale lazima upate shida naomba kumkosoa mleta mada huwa inawekwa kwenye jiwe kubwa ambalo huwanje ya nyumba hapo linawekwa fuvu la babu au mtu mkubwa wa ile familia na si wote wanafanyiwa hivyo.......

Na sehemu nyingine ya mifupa huwekwa kwenye mipaka ambayo hutenganishwa na masale. huwa kuna majani fulani wanayaita masale ndipo wanapoweka ni hizi mila zilishakufa tokea kuja kwa dini ya kristo ...... Kwa miaka hii ni familia chache sana wanafanya huo mchezo..... Nimekulia kijijini nacho sema ndio ukweli kwenda kuzikwa nyumbani ni heshima kubwa sana ndio maana kama huna nyumba moshi au eneo katika ukoo uwezi enda zikwa huko wapo radhi wajenge hata nyumba ya tope alafu uzikwe la sivyo wanasema umezikwa pateni..... Pateni ni eneo huwa mara nyingi alizalishi na sehemu wanyanma wanakula nyasi huwa migomba haioti ni pakavu sana.......

Ila mkuu kutambika mara ya mwisho niliona wamefanya huo mchezo nilikuwa darasa la tano na nilikunywa kisusuio nikachapwa na mama sana kwa sababu nilienda kukaa na wanaume wakati wanachinja hairuhusiwi... Ila kwa kuwa mimi ni kpenzi cha baba yangu haikuwa shid kwake ila mama ilikuwa tabu nikapewa kibano vizuroi tokea hiyo siku sijaona tena wakichinja mbuzi sijauliza kwa nini lakini? Ila mimi nahisi ni mda wa kukutana haupo tupo bussy sana kutafuta hela,,,,, baa zetu hawjaependa tuendeleze hizo mila.... Kufa kwa mababu zetu waliokuwa wanpenda hizo mila..... Uchumi pia mbuzi bei yake kidogo ni nzuri kuchinja inaleta hasara...... Pia dini nayo imechangia kiasi kikubwa.......

Hope umeelewa kidogo... Kwa mimi hizi mila hazina ubaya hata kidogo ni nzuri sea zipo kwa eneo dogo na tunaziua kwa mila za wazungu tunzozitukuza na kuona hao ndio bora kuliko sis....... Kumbuka wenzetu nao zile ni mila kama zetu tu sema zao walikuwa na uwezo mkubwa wa kuambukiza dunia kuliko sisi.......

Kule Rombo tunaweka kwenye masale ambapo ni chimbuko la ukoo tunaita ..Mbuhoni
 
mimi nashindwa elewa watu hizo ndizo mila zetu ... tumeziona za kipuuzi baada ya hao wanzuru na waarabu kuleta mila zao ambazo zilishika sehemu kubwa ya dunia... that is superior culture which been able to kill other culture and we accept it..... am okey na wale wanaoendekeza bila zo am happy with them kama azivunji sheria na kuharibu utu wa mtu ni sawa kabisa
 
Limbukeni ni wewe, unashindwa hata kusoma mtiririko wa uchangiaji wa ID?

Suala la kafara bado lipo na wazungu wanaendelea kutoa hadi kesho, Wahindi, wachina, waarabu nk, Tatizo lako umeamua kuwa limbukeni wa mila za kizungu kwa kuaminishwa kupitia biblia.
 
Familia maarufu Ulaya kwa kiasi fulani wanafanya haya haya wanayo fanya Wachagga na Makabila mengine. Achana na makapuku wa Kizungu na hawa wanaopata umaarufu kupitia Michezo,Uigizaji Sinema,Ubunifu,nk.

wangetoa kafara wazungi isingekuwa shida tumefanya wachaga tatizo... mtuache kabisa
 
ni kweli wanachosema ila inategemeana na mchaga wa sehemu gani..... Lakuchimba mifupa ya marehemu ilikuwa kwa ajili ya kuweka ulinzi kwenyi mipaka ya mashamba na ukivuka pale lazima upate shida naomba kumkosoa mleta mada huwa inawekwa kwenye jiwe kubwa ambalo huwanje ya nyumba hapo linawekwa fuvu la babu au mtu mkubwa wa ile familia na si wote wanafanyiwa hivyo.......

Na sehemu nyingine ya mifupa huwekwa kwenye mipaka ambayo hutenganishwa na masale. huwa kuna majani fulani wanayaita masale ndipo wanapoweka ni hizi mila zilishakufa tokea kuja kwa dini ya kristo ...... Kwa miaka hii ni familia chache sana wanafanya huo mchezo..... Nimekulia kijijini nacho sema ndio ukweli kwenda kuzikwa nyumbani ni heshima kubwa sana ndio maana kama huna nyumba moshi au eneo katika ukoo uwezi enda zikwa huko wapo radhi wajenge hata nyumba ya tope alafu uzikwe la sivyo wanasema umezikwa pateni..... Pateni ni eneo huwa mara nyingi alizalishi na sehemu wanyanma wanakula nyasi huwa migomba haioti ni pakavu sana.......

Ila mkuu kutambika mara ya mwisho niliona wamefanya huo mchezo nilikuwa darasa la tano na nilikunywa kisusuio nikachapwa na mama sana kwa sababu nilienda kukaa na wanaume wakati wanachinja hairuhusiwi... Ila kwa kuwa mimi ni kpenzi cha baba yangu haikuwa shid kwake ila mama ilikuwa tabu nikapewa kibano vizuroi tokea hiyo siku sijaona tena wakichinja mbuzi sijauliza kwa nini lakini? Ila mimi nahisi ni mda wa kukutana haupo tupo bussy sana kutafuta hela,,,,, baa zetu hawjaependa tuendeleze hizo mila.... Kufa kwa mababu zetu waliokuwa wanpenda hizo mila..... Uchumi pia mbuzi bei yake kidogo ni nzuri kuchinja inaleta hasara...... Pia dini nayo imechangia kiasi kikubwa.......

Hope umeelewa kidogo... Kwa mimi hizi mila hazina ubaya hata kidogo ni nzuri sea zipo kwa eneo dogo na tunaziua kwa mila za wazungu tunzozitukuza na kuona hao ndio bora kuliko sis....... Kumbuka wenzetu nao zile ni mila kama zetu tu sema zao walikuwa na uwezo mkubwa wa kuambukiza dunia kuliko sisi.......

Thanks mkuu..
Naomba nije kishumundu kuleta ile BAHASHA ya kaki na blanket la BABU ili tumalize lile swala, ulisema debe ngapi za mbege?
 
debe kumi tu ili isilete shinda na mizinga mitano ya konyagi hapo unanichukua hapo hapo
 
Halaf wanajiona wameelimika kuliko makabila mengine
Ukisikia kutokuelemika ndiyo huku. Ebu jiulize kuna connection gani kufukia kitovu cha mtoto migombani ili asiugue au kutahiri msichana ili awe mzuri....wachagga wanafanya hivi.
 
Kuna nyingine umesahau... kama mtoto amezaliwa nje ya ndoa, siku ya kukaribishwa nyumbani kwao, mbuzi mmoja anakatwa sikio na mtoto anachanjwa kutoa damu kisha damu ya mtoto na damu ya mbuzi zinachanganywa. Mi huwa najuliza, kwa nini wanachanganya damu ya mtu na ya mbuzi.. inamaana huyo mtoto ni mfugo pia? Kwa nini damu ya mtoto mgeni isichanganywe na damu ya watoto wengine wa familia kama ni lazima kuchanganya damu? Kifupi hii pia ni maneno mbofu mbofu tu.

Hiyo ni level ya juu ya ubaguzi ambayo mabwashee wanajikuta hawawezi kuiacha kwenye mifumo mingine ya maisha.
 
Kwanini Waafrika wengi kila wanapojadili mambo mara nyingi rejea yao inakuwa Ulaya?Hebu nasi tubadilike na kuthamini mambo yetu kwani siyo kila akifanyacho Muafrika hakifai na siyo kila akifanyacho Mzungu kinafaa bali tupime mambo.
 
Ndio mila nyingi zinaambatana na imani potofu mf:kuzika watoto hai eti ili kufanya amani baina ya koo n.k ni ushilikina tu,huwezi kutenganisha ushilikina na uchawi. Nafikiri bwana Pembe hakujidai eti kwakuwa ameokoka isipokuwa ameeleza ile kweli,kweli tupu.

Mkuu lyinga naomba umsome huyu jamaa na sio kwa mba nimetoa kichwani pangu. Kaka sio kweli basi samahani mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ukisikia kutokuelemika ndiyo huku. Ebu jiulize kuna connection gani kufukia kitovu cha mtoto migombani ili asiugue au kutahiri msichana ili awe mzuri....wachagga wanafanya hivi.

hayakuhusu lakini....
kama waona hayo ni ya ajabu, tuambie kabila lako na sie tuyaweke ya kwenu hapa ili tuone kama huko kwenu hakushangazi.
 
Kama we kidume hebu jaribu kudharau kiwazi wazi uone moto.
 
Back
Top Bottom