Mkuu kama wanafikia au hawafikii hii sio hoja. Hapa hoja ni hizi mila wewe unazionaje? Kama kuna makabila mengine yana mila zinazohitaji mjadala unaweza kuzianzishia uzi wake maalum.Kuna watu hapa Tanzania wana mila na desturi hao Wachagga ahata tone hawafikii...
Kwa wale ndugu zangu wachaga mimi nawaomba msichukulie huu uzi kama vile una lengo la kuwachafua, chukulieni kama ni changamoto tu. Nadhani tatizo labda ni kutaja kabila husika. Huenda ingewekwa bila kutaja kabila ingekuwa bora zaidi.