daniel kalasha
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 548
- 72
na hii mkuu umeisahau.....................ya kua gogo kwenye kupiga mambo yetu yaleeee
Sawa chasaka tumekuelewa nyumbani ni nyumbani hata kama ni porini.
Ungeonesha mfano kwa kuanza kukataa kuvaa nguo, maana hatukuwanazoBefore colonial era na hizi mila za kizungu mnazoziona za kistaarabu tulikuwa na tamaduni zetu...Hii western culture naona imewasweep wengi na soon mtajiona hata hizi rangi zenu hazifai tena, recommended rangi ni toka kwa weupe...Mimi najivunia kuwa nilivyo, najivunia utamaduni wangu hata kama ni wa kula nyau who care!
Hahahaa chasaka.; wewe mchokozi huyo mpka jina la kichaga kma hapendi mila zetu abadili jina lake fasta,atuache tunywe mbege na ndafu kwa afya
Frankly speaking, hizo ni Kafara na zina wa cost sana sana. We angalia nguvu ya hao mizimu inavyowavuta kila mwisho wa mwaka wende kutoa sadaka za damu, na huwa wasipoenda wanakufa wenginewanapata ajali. hii ni chambo ibilisi anawamaliza kistaili kwa sababu shetani anapotaka damu baadaye anatake damu ya mtu. kama wewe ni mchaga fanya mpango ukawakomboe ndugu zako wamwamini Mungu wa Kweli. Seriouly sisi Tulijaribu kwenda kuzivunja hizo mila kwa njia ya maombi tukafanikiwa lakini vita ilikuwa kali mno. Mungu anaweza of course wanahitaji masaada wa haraka kwa kuwa wengi wao wanachanganya Mungu na miungu na matokeo yake Mungu amewaacha. Mf nasikia wanapotoa nywele wakati wa msiba ni mapango wa shetani kuandaa mtu mwingine atakayekufa next. inasikitisha na wanahitaji maombi. Tofauti na mikoa mingine ambao wengi wao hawamjui Mungu ni rahisa kuwahubiria juu ya Mungu wa kweli. Lakini hawa wanachanganya...kanisani mila na kwa waganga. Urgent need for intercession!
Ndio mila nyingi zinaambatana na imani potofu mf:kuzika watoto hai eti ili kufanya amani baina ya koo n.k ni ushilikina tu,huwezi kutenganisha ushilikina na uchawi. Nafikiri bwana Pembe hakujidai eti kwakuwa ameokoka isipokuwa ameeleza ile kweli,kweli tupu.
Na moshi asikanyage tena akae hukohuko alipojenga pambafu kabisa hawa ndio wanaokuja kuleta fujo ya vihamba badaae na tusiwakamate.
Ungeonesha mfano kwa kuanza kukataa kuvaa nguo, maana hatukuwanazo
Mila sio zote zenye nafasi, zipo baadhi hazifaikabisa kama kutoa kafara ya kuchinja mbuzi na kunyunyiza damu, kwa mfano umenunua gari mpya, umejenga nyumba unatakiwa ufanye, huu mi nauona ni ushirikina kwa nini msifanye sala tuu kwa jina la Yesu. Nyingine kwa mfano kufukua kaburila marehemu na kutoa mifupa yote na kuiweka kwenye mgomba. Nyingine kupelekangozi ya kitovu cha mtoto mchanga kinachokatikaga kwa Babu na Bibi eti ilimtoto asiwe anauguagua ovyo. Au lazima kwenda kuzika Moshi wakati unakutamarehemu amejijenga na kushi sehemu nyingine miaka yote na kwao hata nyumba hana.
Kuna watu wakikaa ni kuwaza Wachaga tuuuuu
Mkuu watu huwa hawaelewi. mimi sifagilii kafara kabisa, ila hakuna watu wanatoa kafara kama hao watu weupe. Tena bora wachaga wana chinja mbuzi, watu weupe kafara zao kubwa ni binaadamu wenzao. Naskia wachina walileta container lililojaa miili ya watu kwa ajili ya kafara ili waweze kufanya biashara Tanzania bila matatizo, na naskia pia miungu ya Tanzania imekubali kafara hizo ndio maana unaona wachina wamejaa Tanzania wanafanya hadi umachinga japo kiswahili hawajui. Chezea ngozi nyeupe wewe...
Watu hawajui kuwa hata kwenye dini kuna kafara au sadaka.
Zile habari zote za agano la kale walikuwa wanatoa sadaka za kuteketeza, na sadaka kuu na ya mwisho iliyoondoa sadaka za kuteketeza ni sadaya ya Yesu mwenyewe.
ambao hawajajenga nyumbani wanahesabika kwa shida sana rafiki, sidhani kama kuna kabila hapa linalowazid wachaga kwa kujijenga nyumbani(kijijini) na hiyo hutokana na ile kwenda at least mara moja kwa mwaka home............... wakati unakutamarehemu amejijenga na kushi sehemu nyingine miaka yote na kwao hata nyumba hana.
Mi kabila langu jina linajieleza na huu ni uchambuzi tuu wa maswala mbalimbali hayana uhusiano na kashfa wala dharau kwa wachaga. Punguza hasira naona umesimama kaa chini utulie.
Kuna watu wakikaa ni kuwaza Wachaga tuuuuu