Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Anaongea nini huyo anajichosha bure na mikwara yake mbuzi oh simtambui Rais, Nchi haitawaliki leo Mbowe wake wa kwanza kusema Mheshimiwa Rais Kikwete naomba utusikilize japo kidogo na sisi wawekezaji wa cdm.
wengi wenu hampendi uwepo wa Slaa popote.
CCM mnatabia ya kujitekenya wenyewe alafu mnacheka wenyewe.
 
kiongozi mboe nansifu sana kwani anapiga kampeni za kistarabu sana anaomba kura hata za magamba du hekoo mboeeee
 
Hii ndio jf ya kisasa!, muda rasmi wa kumaliza rasmi kampeni ni saa 12:00 jioni!. Mpaka sasa hakuna live kokote!. Muanzisha mada toa ufafanuzi ukiambatana na sorry.
 
Kwa hali ilivyo sijui ni namna gani ccm watapata hata 30% kesho.
 
Matamko ya Chadema ya kutishia Serikali
1. Hatumtambui Rais JK na serikali ya CCM, kususia hotuba ya Rais----- but kilichotokea leo hii wanagombania hadi kupiga picha nae manaake wanamtambua vilivyo
(2) Kuitisha Mkesha wa ukombozi kushinikiza Lema kutolewa Jela--- Mkesha unasambaratishwa na Slaa kusweka lupango, Mbowe akimbia kujificha hai huku Lema akiachwaa Jela kubeba Mtondoo
(3) Kuitisha maandamano nchi nzima kupinga serikali na jeshi la police kuionea Chadema--- Kilichotokea Jeshi la Police lilikoroma kidogo na cdm kufyata mkia
(4) Hatumtambui Meya wa Arusha -- Kilichotokea Meya yupo ofcn na anaongoza Jiji na vikao hadi vinvyohuzuriwa na Lema

Matamko yapo mengi lakini utekelezaji wake ni 0.000% sasa hapo Arumeru mtaishia kunawa tukubalini yaishe
 
Ay5dDkexEVQGAAAAAElFTkSuQmCC

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

VUVUZELA RANGI GANIIIIIIIIIIIIIII


watermarked_thumbnail.aspx
 
Hii ndio jf ya kisasa!, muda rasmi wa kumaliza rasmi kampeni ni saa 12:00 jioni!. Mpaka sasa hakuna live kokote!. Muanzisha mada toa ufafanuzi ukiambatana na sorry.

Yaani kosa la mtu unailaumu JF; wewe ulipotoa taarifa ambazo hazikuwa sahihi kosa liwe ni JF? Kwanini usimlaumu mleta habari au mnataka JF ianze kuwa babysitter wa kila anayeleta habari? c'mmon now..
 
Alikuwa anapoteza muda tu kurudia kwani watu ni walewale wametoka USA na Costa kuja hapa Arumeru unabisha mkuu kwani sote tulikuwa kitaa hicho
Mbowe yupo jukwaani baada ya Dr. Slaa kumaliza kuongea. Alichoongea Dr. Slaa katika mkutano wa USA ndiyo hayo hayo ameyasisitizia hapa.
 
Kwa pamoja vita hi tutashinda wanachadema,wao wana Pesa wanamagamba CCM,sisi Chadema tuna Mungu anayetupigania.
 
Yaani kosa la mtu unailaumu JF; wewe ulipotoa taarifa ambazo hazikuwa sahihi kosa liwe ni JF? Kwanini usimlaumu mleta habari au mnataka JF ianze kuwa babysitter wa kila anayeleta habari? c'mmon now..
achana na huyo jamaa anajidhani anajua kumbe ni kiazi
 
Kisa ni kipi hasa kupinga propaganda za Chadema ama kutangaza sera safi za CCM plz quinine JF ni jukwaa huru sio tu la watu wenye mlengo kama wako
Mkuu,

Faiza foxy na MWITA25 wako wapi siku hizi,au wameshavuta? I mean kwenda mbele ya haki? Nahisi mmojawapo atakuwa ndo hizo SPERMS.Mods fungia hii ID
 
Back
Top Bottom