Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Kisa ni kipi hasa kupinga propaganda za Chadema ama kutangaza sera safi za CCM plz quinine JF ni jukwaa huru sio tu la watu wenye mlengo kama wako
weka hapa izo sera safi za CCM.
Kisa ni kipi hasa kupinga propaganda za Chadema ama kutangaza sera safi za CCM plz quinine JF ni jukwaa huru sio tu la watu wenye mlengo kama wako
weka hapa izo sera safi za CCM.
Kisa ni kipi hasa kupinga propaganda za Chadema ama kutangaza sera safi za CCM plz quinine JF ni jukwaa huru sio tu la watu wenye mlengo kama wako
Hadi hapo ulipofikia wewe ni sera safi za CCM. Bila Serikali ya CCM leo usingekuwa Arumeru hilo hata Mbowe analifahamu
Hii ndio jf ya kisasa!, muda rasmi wa kumaliza rasmi kampeni ni saa 12:00 jioni!. Mpaka sasa hakuna live kokote!. Muanzisha mada toa ufafanuzi ukiambatana na sorry.
Pasco,
Si mmeanzisha thread yenu ya Kufunga kampeni za CCM leo? Sasa mbona mnandia thread yetu. Au unatuonyesha kwamba mkutano wenu umedoda na thread haina mvuto!
Hata aibu huoni kuja na Multiple IDs humu ndani? Ukasahau hata kupindisha Signature Mr Emmy,Wewe ni mtu yuleyule ,i mean Mr Emmy ndo SPERM.Akili yako ni ileile,Ulipigwa ban kwa sababu ya akili yako mbovu ,coz akili bado ni hiyo hiyo.UNASTAHILI BAN Pia,MODS sikieni kilio changu
CDM wakishinda Arumeru najinyonga na kamba ya katani. Kudadakee!
Mkuu,
Faiza foxy na MWITA25 wako wapi siku hizi,au wameshavuta? I mean kwenda mbele ya haki? Nahisi mmojawapo atakuwa ndo hizo SPERMS.Mods fungia hii ID
Ingependeza sana kama kwenye up date mngekuwa mnanukuu angalau sentensi mbili au tatu za alichosemaDr. Slaa anaongea sasa.
weka hapa izo sera safi za CCM.
Ingependeza sana kama kwenye up date mngekuwa mnanukuu angalau sentensi mbili au tatu za alichosema
CCM kushindwa Arumeru itakuwa upuuzi na uzandiki, CCM ina madiwani 17 CDM 0 narudia tena CDM wakishinda
najinyonga.
Utakuwa kipofu wa fikra ndugu yangu hujui sera safi za CCM zilizo kulea, kukuza na sasa unaweza hata kutumia internet
CCM kushindwa Arumeru itakuwa upuuzi na uzandiki, CCM ina madiwani 17 CDM 0 narudia tena CDM wakishinda najinyonga.
Unalilia nini kijana unajipendeza kwa mods wewe nani wasikie kilio chako magwanda yamekubana?
Una akili sana umeongeza 'y' badala Mr emmy sasa imekuwa Mr emmyy. Good strategy ila ninachoweza kusema Mods wana kazi kwelikweli.Mkutano wetu sasa umeenda vizuri sana kupita maelezo, ushindi kwetu ni Mkakati wa vijana na wazee na wakinamama hukamilisha kazi inayofanywa na vijana