Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Nawashangaa hawa Chadema wanatokwa na povu bureeee I hope wamesahau Igunga, Kiteto na kwingeneko lakini makosa sio yao niya viongozi wao wanaopima ushindi kwa kuangalia Idadi ya Watu wanaohudhuria mikutano ya kampeni na sio mikakati ya chama husika

I think MODS are not serious nowadays,you see this
 
Una akili sana umeongeza 'y' badala Mr emmy sasa imekuwa Mr emmyy. Good strategy ila ninachoweza kusema Mods wana kazi kwelikweli.

Mr emmyy
Join Date : 31st March 2012

MODS wameshaifungia SPERMS nini? Eti mkuu
 
Unalilia nini kijana unajipendeza kwa mods wewe nani wasikie kilio chako magwanda yamekubana?
Hata walie leo usiku kucha hawabebeki na Kesho kuanzia saa 4 usiku watazima kabisa laptop ama Vcm vyao vya mchina chezea CCM weye hii ni zaidi ya uijuavyoo
 
Wana CCM popote mlipo kuweni na amani kabisa vijana wa CCM tupo imara kusimamia ushindi wetu ambao upo dhahiri kwani tutamtoa mtu kwa nok out mapema kabisa. Mikutano ya Chadema inajazwa na Vijana wenye miaka 18-19 ambao hawana shahada za kupigia kura but CCM inauhakika wakura za kutosha na kusaza kutoka kwa wakina Mama, Vijana wa makamo na Wazee hivyo ushindi kwetu ni utekelezaji wa Mkakati wa Chama

Hizi hoja za uongo ndizo mnazolishana watu ili kuhalalisha wizi wenu wa kishenzi. Nyie subirini kichapo kama cha mbwa mwizi kesho!

 
Una akili sana umeongeza 'y' badala Mr emmy sasa imekuwa Mr emmyy. Good strategy ila ninachoweza kusema Mods wana kazi kwelikweli.

Mr emmyy
Join Date : 31st March 2012

Naona baada ya magwanda kukubana umeamua kujipa majukumu ya Mods..kudadaeki.
 
Mkutano wetu sasa umeenda vizuri sana kupita maelezo, ushindi kwetu ni Mkakati wa vijana na wazee na wakinamama hukamilisha kazi inayofanywa na vijana

user-online.png
Mr emmyy



Junior Member Array


Join Date : 31st March 2012
Posts : 5
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
 
naona watu wa moshi wanapanda magari yao sasa kurudi kwao . watuachie Arumeru yetu.
KARIBUNI TENA MAJIRANI.
 
naona watu wa moshi wanapanda magari yao sasa kurudi kwao . watuachie Arumeru yetu.
KARIBUNI TENA MAJIRANI.

We bado upo humu,nenda katupe updates za kampeni zenu za CCM kule kwenye thread yenu,Kunako huku mkubwa??? Ukitaka kuitetea CCM inatakiwa uwe na akili ya maiti, CASE STUDY-BUCHO wa JAMIIFORUM
 
Like itanisaidia nini mimi sipo JF kutafuta Like, CCM Oyeee!!

Alafu kwa akili yako mbovu unaidhalilisha Avatar uliyoweka hapo.Ukitaka kuitetea CCM inatakiwa uwe na akili ya Maiti-Reference,REV ROBINSON wa JFORUM
 
naona watu wa moshi wanapanda magari yao sasa kurudi kwao . watuachie Arumeru yetu.
KARIBUNI TENA MAJIRANI.
Leo chadema wametoa kali ya mwaka wameto watu Arusha na Moshi na kuwapeleka kwanza Usa then ikawahamishia Tengeru na sasa naona Costa za Arusha - Moshi zinakula vichwa kuwarudisha makwao ila kuna habari nazifatilia hapa kuhusiana na kundi la vijana ambalo linaombwa kubaki Arumeru katika kambi ya CDM kwa ajili ya mkesha nitawapa kitachojiri
 
What iz wrong na hiyo post unachotakiwa ni kujibu hoja na sio kutokwa na povu tu

Tatizo ni wewe mkuu.Ku deal na Insane people ni Challenge,.MODS wanatakiwa kuwa makini ku deal na watu kama ninyi,coz ur always noise makers.
 
Mkutano umekwisha wakuu najiandaa kwenda kutupia picha a video.
 
Mkutano umekwisha wakuu najiandaa kwenda kutupia picha a video.

Asante mkuu,nenda kaweke vitu.Sisi tupo hapa tunasubiria.Vijana wa CCM wametujoin kwenye thread hii.Ya kwao Imedoda,Kama ni sherehe yaani haina watu
 
Nakumbuka kwenye uchaguzi wa marudio wa Jimbo la Tarime baada ya kufariki kwa Chacha Wangwe, siku msimamizi wa Uchaguzi anamtangaza Charles Mwera (CHADEMA) kwamba ameshinda, Mbowe alimpigia simu Katibu Mkuu wa CCM, Yusuph Makamba akimpa japo salamu na kumuuuliza yupo wapi japo akampe pole?

Cha kushangazwa Mbowe alijibiwa na Makamba kwamba yupo Bunda anaelekea Mwanza kupanda ndege kurejea Dar. Sasa kesho natabiri wakati Joshua Nassari anatangazwa mshindi majira ya saa sita usiku, Mwigulu Nchemba na genge lake watakuwa maeneo ya Hidaru au Mombo wanaitafuata Segela kurejea Dar. Wakati huo huo Lusinde atakuwa anakata pori la Babati Kondoa kuelekea Dodoma.
 
Alafu kwa akili yako mbovu unaidhalilisha Avatar uliyoweka hapo.Ukitaka kuitetea CCM inatakiwa uwe na akili ya Maiti-Reference,REV ROBINSON wa JFORUM

Kwenda zako kwani ukiwa REV mpaka uwe CDM? Nyie mbona mnae Rev Masanilo.
 
Back
Top Bottom