Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Mbowe yupo jukwaani baada ya Dr. Slaa kumaliza kuongea. Alichoongea Dr. Slaa katika mkutano wa USA ndiyo hayo hayo ameyasisitizia hapa.
 
Anaongea nini huyo anajichosha bure na mikwara yake mbuzi oh simtambui Rais, Nchi haitawaliki leo Mbowe wake wa kwanza kusema Mheshimiwa Rais Kikwete naomba utusikilize japo kidogo na sisi wawekezaji wa cdm.
Dr. Slaa anaongea sasa.
 
Safi hiyo umesahau hata Babu ya yao Slaa mwaka juzi alivyotendwa
Baada ya ile ID ya Mr emmy kula ban umeamua kuja na hii, angalia usije kula ban tena maana akili ni ile ile aijabadilika.
 
Napata raha leo jamani, nilikuwa natoka zangu mjini mida ya mchana nikakutana na msafara wa makamanda umepambwa kwa mabendera pale maeneo ya kinondoni safarini Arumeru
 
achana na mavuvuzela .

Ay5dDkexEVQGAAAAAElFTkSuQmCC

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

VUVUZELA RANGI GANIIIIIIIIIIIIIII
 
Back
Top Bottom