Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Magwandaa leo wapoleeeeeee kama wamemewagiwa pilipili.

Wapole kivipi my luv Radhia? Sisi tumejaa tele humu JF. Vipi Rejao na Ritz? Wako wapi au ndo wanachakachua picha za uchaguzi mkuu wa 2010 wazilete hapa kwamba ndizo za kufunga kampeni za CCM. Maana jana usiku walijaribu kugushi picha, wadau wakawakurupua. Hawajonekana tena

najua leo watu wa kanda hii wamejaa tengeru
430593_342798112428955_100000963067453_956716_1339578031_n.jpg
 
Wakuu hali hapa Tenguri ni mbaya mtandao unasumbua sana msione kimya.

Kifupi mkutano wa CDM hapa umefunika sijawahi ona. Huu ni uthibitisho kuwa CDM inatisha na ni chama cha wananchi.
 
anyupdates? mbona start tv ndio kwanza wanaanza kuonyesha mpira
 
Wakuu hali hapa Tenguri ni mbaya mtandao unasumbua sana msione kimya.

Kifupi mkutano wa CDM hapa umefunika sijawahi ona. Huu ni uthibitisho kuwa CDM inatisha na ni chama cha wananchi.

Augustine Mrema had had his car pushed by his supporters through up to 20 km, but he ended grabbing hardly 5 percent of electors' votes.
 
Back
Top Bottom