Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Nyie endeleeni kujifariji tu naenda kutupa picha ulimwengu mzima ujue Arumeru hawataki ujinga
 
Hakika saa ya ukombozi ni sasa. Wana Arumeru washeni indicator ya kijani kuashilia ukombozi.
 
lori la TOT na Kosta ziko tupu,kuna makonda na madereva.Nimemuona komba yuko na NOA tinted maeneo ya sheri king'ori lena kapata pancha anabadilisha tairi.Kesho tukishinda watafute kwa kupitia,tutawazomea mwanzo mwisho wapeleke salamu magogoni.
 
Hilo jimbo ni CDM bila kificho. Hata viti vya udiwani navyo vinanyakuliwa na CDM:thinking:

Updates:
Mkutano umekwisha wakuu, kilichotokea ni historia katika Arumeru watu walikuwa ni wengi haijawahi kutokea na kitu kilikuwa kimeratibiwa vizuri.

Ni wazi ushindi ni kwa Nassari bila chenga.

Nassari anatoa kituko hapa, katika kujibu hoja ya kuwa na mke.

Anasema kwa kuwa Halima Mdee hajaolewa basi wakimuudhi anaweza kumuoa Mdee kisha Aremeru ikawa ina wabunge wawili!!!!!!

Mbowe anasema wanampango wa kupeleka hoja binafsi marais wastaafu ambao wanafanya kazi za chama wasilipwe pension na serikali bali chama.
Slaa atoa tuhuma nzito kuwa leo katika hotel Snow Cret kulikuwa na mkutano kati ya tume na CCM ili kuona jinsi ya kuokoa jahazi.

Vicent Nyerere anasema Wameru wanatatizo moja tu, tatizo lao ni pale wanaponyang'anywa haki haki yao. Anasema haki yao ni Nasari.

WanaJF nitakuwa live kuwaletea bila chenga yatayojiri katika mikutano ya kufunga kampeni ya jimbo la Arumeru. Hivi sasa mambo yanaendelea kwa kuwapika mawakala eneo la USA.
Vitendea kazi vipo vya kutosha kwa ajili ya picha na videos.

Stay tuned,
 
wcLdzSKAt8QqgAAAABJRU5ErkJggg==
Mkuuu inabidi tuitoe CCM madarakani utaheshimika na kisomo chako na hutahitaji kudhalilika kiasi hiki. CCM imeshindwa kabisa kutambua kuwa bila viwanda nchi haiwezi kujiendesha kwani watu wake watakosa kazi na heshima
 
Updates:
Mkutano umekwisha wakuu, kilichotokea ni historia katika Arumeru watu walikuwa ni wengi haijawahi kutokea na kitu kilikuwa kimeratibiwa vizuri.

Ni wazi ushindi ni kwa Nassari bila chenga.

Nassari anatoa kituko hapa, katika kujibu hoja ya kuwa na mke.

Anasema kwa kuwa Halima Mdee hajaolewa basi wakimuudhi anaweza kumuoa Mdee kisha Aremeru ikawa ina wabunge wawili!!!!!!

Mbowe anasema wanampango wa kupeleka hoja binafsi marais wastaafu ambao wanafanya kazi za chama wasilipwe pension na serikali bali chama.
Slaa atoa tuhuma nzito kuwa leo katika hotel Snow Cret kulikuwa na mkutano kati ya tume na CCM ili kuona jinsi ya kuokoa jahazi.

Vicent Nyerere anasema Wameru wanatatizo moja tu, tatizo lao ni pale wanaponyang'anywa haki haki yao. Anasema haki yao ni Nasari.

WanaJF nitakuwa live kuwaletea bila chenga yatayojiri katika mikutano ya kufunga kampeni ya jimbo la Arumeru. Hivi sasa mambo yanaendelea kwa kuwapika mawakala eneo la USA.
Vitendea kazi vipo vya kutosha kwa ajili ya picha na videos.

Stay tuned,

Khs hapo snowcrest, amesema jaji lubuva mwenyewe alikuwepo na mpango uliopo ni kuwa wataiba masanduku ya kura yataibiwa na kupelekwa chuo cha ustawi wa jamii tengeru, CDTI, wakati huo watu watakuwa wanachezea kichapo kikali. ndani ya lisaa limoja masanduku mengine yaliyochakachuliwa yatakuwa yamerudishwa vituoni yakiwa yameshawekwa kura za magamba
 
Chuo cha Maendeleo ya Jamii,Tengeru a.k.a Community Development Training Institute (CDTI) a.k.a CDTI Tengeru
 
Back
Top Bottom