Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Leo chadema wametoa kali ya mwaka wameto watu Arusha na Moshi na kuwapeleka kwanza Usa then ikawahamishia Tengeru na sasa naona Costa za Arusha - Moshi zinakula vichwa kuwarudisha makwao ila kuna habari nazifatilia hapa kuhusiana na kundi la vijana ambalo linaombwa kubaki Arumeru katika kambi ya CDM kwa ajili ya mkesha nitawapa kitachojiri

Majungu siyo mtaji mbona hukusema jana Lowasa alipotoka na kundi lake Monduli?
 
amakweli kuitwa mwanachama wa ccm ni sawa na kutukanwa.kunaposti yao iko hàpa jamvini lakini wameiacha na kuparamia posti inayohusu zinduzi wa chadema.inaonyesha ni vip wasivyo penda kwao na kukimbilia kwa majirani,jamani hatuwatakiii
 
amakweli kuitwa mwanachama wa ccm ni sawa na kutukanwa.kunaposti yao iko hàpa jamvini lakini wameiacha na kuparamia posti inayohusu zinduzi wa chadema.inaonyesha ni vip wasivyo penda kwao na kukimbilia kwa majirani,jamani hatuwatakiii

CCM wanahaha mkuu.
 
Hoja ipi ya uongo ndugu yangu hebu itaje? Chadema ndio mnakurupuka kupanga matokeo kwa kuangalia Idadi ya mahudhurio katika mkutano na kusahau sanduku la Kura kesho mtagundua kuwa watu walikuwa wanakuja kushangaa Helcopta na sio kusikiliza sera

Hizi hoja za uongo ndizo mnazolishana watu ili kuhalalisha wizi wenu wa kishenzi. Nyie subirini kichapo kama cha mbwa mwizi kesho!

 
Majungu siyo mtaji mbona hukusema jana Lowasa alipotoka na kundi lake Monduli?
Kwahiyo unakiri kitendo kinachoenfelea kufanyika mida hii cha watu na moshi kugombania magari kurudi makwao
 
Yap nimepata gari now naelekea USA kukutana na vijana wazalendo wa CCM wakitokea king'ori ambako wametikisa vilivyo nitaendelea kuwa update zitakazo kuwa zinatokea nikiwa njiani na usiku kucha hadi CCM itakapotangazwa washindi
 
Hoja ipi ya uongo ndugu yangu hebu itaje? Chadema ndio mnakurupuka kupanga matokeo kwa kuangalia Idadi ya mahudhurio katika mkutano na kusahau sanduku la Kura kesho mtagundua kuwa watu walikuwa wanakuja kushangaa Helcopta na sio kusikiliza sera

Kwa hiyo nyie kwenu ndo wanakuja kusikiliza sera? Sera zenyewe ndio zile za Lusinde! Bangi ikiota inakuwa na rangi ganiiiiiiiiiiiii?????????
 
ushindi CCM ni 80%, subirini wenyewe kesho kuanzia saa 3 usiku hapa jamii forum chadema wote wataingia mitini, watakuja na visingizio oooh tumeibiwa oooh wamepora masanduku, oooh wameleta masanduku feki. maneno haya hatuyataki mfunge midomo yenu.
 
CDM ziiiiiiiiiiiiii pupupu pukupukkkkkuuuuu watakavyojamba j3 aftr matokeo!
 
Zomea zomea ya jana toka mianzini hadi kikatiti imewafanya CCM kukimbia fedheha na kuja kufungia kampeni King'ori karibu na KIA.Wamekimbia maeneo kama Tengeru,Usa River,Kikatiti,Makumira,Leganga,maeneo yenye watu wengi na kwenda kufungia kampeni kijijini.
Nawasilisha
 
Wameenda huko ili Maji marefu akawachanje chale matakoni!
 
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]


Team

[/TD]
[TD]


Played

[/TD]
[TD]


Goal Difference

[/TD]
[TD]


Points

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"] View full table
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Man Utd
[/TD]
[TD] 30
[/TD]
[TD] 47
[/TD]
[TD] 73
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Man City
[/TD]
[TD] 31
[/TD]
[TD] 50
[/TD]
[TD] 71
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Arsenal
[/TD]
[TD] 31
[/TD]
[TD] 21
[/TD]
[TD] 58
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Tottenham
[/TD]
[TD] 30
[/TD]
[TD] 18
[/TD]
[TD] 55
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Chelsea
[/TD]
[TD] 31
[/TD]
[TD] 17
[/TD]
[TD] 53
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Newcastle
[/TD]
[TD] 30
[/TD]
[TD] 2
[/TD]
[TD] 50
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Everton
[/TD]
[TD] 31
[/TD]
[TD] 0
[/TD]
[TD] 43
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Liverpool
[/TD]
[TD] 30
[/TD]
[TD] 5
[/TD]
[TD] 42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Sunderland
[/TD]
[TD] 31
[/TD]
[TD] 5
[/TD]
[TD] 41
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Swansea
[/TD]
[TD] 30
[/TD]
[TD] -2
[/TD]
[TD] 39
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Fulham
[/TD]
[TD] 31
[/TD]
[TD] -3
[/TD]
[TD] 39
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Norwich
[/TD]
[TD] 31
[/TD]
[TD] -7
[/TD]
[TD] 39
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Stoke
[/TD]
[TD] 31
[/TD]
[TD] -14
[/TD]
[TD] 38
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] West Brom
[/TD]
[TD] 31
[/TD]
[TD] -7
[/TD]
[TD] 36
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Aston Villa
[/TD]
[TD] 30
[/TD]
[TD] -9
[/TD]
[TD] 33
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Bolton
[/TD]
[TD] 30
[/TD]
[TD] -24
[/TD]
[TD] 29
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Blackburn
[/TD]
[TD] 30
[/TD]
[TD] -19
[/TD]
[TD] 28
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] QPR
[/TD]
[TD] 31
[/TD]
[TD] -19
[/TD]
[TD] 28
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Wigan
[/TD]
[TD] 31
[/TD]
[TD] -26
[/TD]
[TD] 28
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Wolves
[/TD]
[TD] 31
[/TD]
[TD] -35
[/TD]
[TD] 22
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Baada ya Muda wa Kampeni kufungwa rasmi leo hebu wana JF wote tuangalieni na matokeo ya soka
Chelsea leo kambamiza aston vila goli 4 kwa mbili huku Arsenal akichapwa goli 2-1 na Machester city wakipumulia mashine baada ya kutoka sare ya 3-3 na sunderland
 
Back
Top Bottom