Nanda crdb processing fee na insurance ni ndogo ukilinganisha na NMB, pia riba ya crdb inapungua kadri deni linavyopungua tofauti na NMB
GudNenda CRDB wanatoa mtonyo mzuri compare to nmb na pia makato ni lazima ubakiwe na 1ya3 ya basic salary.
Sent using Jamii Forums mobile app
Statutory rates zimeshuka lakini mbona riba za mikopo bado ziko juu sana hata kwenye Saccos?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watumishi wengi wanakopa fuata mkumbo sababu wanakopesheka lakini elimu ya kutosha kuhusu mikopo wengi hawana.Ni Shida Sana Ndugu Yangu Hata Kumeza Mate
Kama Umekwamwa Na Mwiba Wa Samaki Shingoni 😏😑😎
Ni Kweli Usemacho Ingawa Baadhi Watakuponda.Watumishi wengi wanakopa fuata mkumbo sababu wanakopesheka lakini elimu ya kutosha kuhusu mikopo wengi hawana. Kinachowatesa watumishi, mkopo anautumia ndani ya wiki moja au mbili pesa yote inakata harafu hakuna mzunguko wa maana wa pesa alionao zaidi ya kutegemea mshahara unaobakia baada ya makato.
Mkopo umekwisha ndani ya wiki mbili lakini makato yatamtesa ndani ya miaka 7. Mwisho wa siku anaamua kwenda ku renew mkopo( anaongeza matatizo).
Aisee una mshahara mdogo we jamaa kaaaa
MhNi Kweli Usemacho Ingawa Baadhi Watakuponda.
Uliona Wale Walinzi Wa Kampuni Ya G4S Walioiba Billions Lakini Walikwenda Kununua Magari, Furniture Za Millions Matokeo Yake Wakajutia
Watumishi Wanaamini Kazi Ni Milele, Wengi Sana Hukopa Sababu Yule Jamaa Yangu Kakopa
Makato Yakianza Shida Zipo Vile Vile
Ni Kweli Usemacho Ingawa Baadhi Watakuponda.
Uliona Wale Walinzi Wa Kampuni Ya G4S Walioiba Billions Lakini Walikwenda Kununua Magari, Furniture Za Millions Matokeo Yake Wakajutia
Watumishi Wanaamini Kazi Ni Milele, Wengi Sana Hukopa Sababu Yule Jamaa Yangu Kakopa
Makato Yakianza Shida Zipo Vile Vile
Mkubwa sana huo mkuu,wengine wanalilia wapate japo nusu ya huo ili maisha yakwende
Okmkuu kwa nmb au crdb unaweza kupata something like 11_12 m lakini kwa uhakika zaidi nenda kwenye matawi yao
Sent using Jamii Forums mobile app