Mikopo CRDB na NMB

Mikopo CRDB na NMB

Kiongoz mazingra ya niliko so mahala rafiki kutengeneza pesa pili biashara ambayo nataka mm niifanye ni ya uuzaji Wa vitu ambavyo uliyemweka hawezi kuiba kama kuagiza cement kutoka kiwandani na kuiuza rejareja na jumla kama MTU atahitaj mingi mfano mzigo Wa tan 30 yaani mifuko 600 naugawanya katika vituo vitatu ambavyo vimechangamka mfano sehemu ambapo panajenga daily kama wilaya hizi mpya huku nikitegemea mzigo uwe umeisha ndani ya mwezi mmjo na kama itakuwa hvyo Bas nitakuwa na uhakika Wa kutengeneza 1000k kwa mwez jambo ambalo litakuwa linanisukuma kidogo mbele.

Mfano kiwandani Dangote cement kuna jamaa kanielekeza kuwa mfuko 32.5 mpaka unafika kwangu utakuwa umekost 16200 42.5N sh. 16450 na 42.5R utafika kwa 16700 mm nauza kwa 18500 au 18000 huku nikiwa najua washindani wangu wanauza 19000 na 18500 I mean nashusha kidogo napretend kupata 2000 tu kila mfuko.


So kwa hyo kama hvyo japo nahitaji ushauri na mwanga zaidi kutoka kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii biashara ya simenti utafanya mwenyewe au utaweka mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wacha nife maskini kuliko maisha ya kukopa kopa. Una mshahara wa laki 4.2 halafu wachukue Nusu hapo mtu unaishi Dsm na familia mtatoboaje?
 
Ni Kweli Usemacho Ingawa Baadhi Watakuponda.
Uliona Wale Walinzi Wa Kampuni Ya G4S Walioiba Billions Lakini Walikwenda Kununua Magari, Furniture Za Millions Matokeo Yake Wakajutia

Watumishi Wanaamini Kazi Ni Milele, Wengi Sana Hukopa Sababu Yule Jamaa Yangu Kakopa

Makato Yakianza Shida Zipo Vile Vile
Wanakopa ili wapate nyumba,kazi enyewe hazina dhamana,ni Bora wawe na nyumba kuliko kukosa. Nyumba,Kuna watumishi walirambwa kipindi like hapa wilayani kwetu,hawakubabbaika saaana kwa kuwa walishakopa na kujenga nyumba,kwa hiyo familia zimebaki kwenye nyumba wao wamekwenda mbele kutafuta.
He wasingekua na nyumba familia zingekaa wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naaaam
Wanakopa ili wapate nyumba,kazi enyewe hazina dhamana,ni Bora wawe na nyumba kuliko kukosa. Nyumba,Kuna watumishi walirambwa kipindi like hapa wilayani kwetu,hawakubabbaika saaana kwa kuwa walishakopa na kujenga nyumba,kwa hiyo familia zimebaki kwenye nyumba wao wamekwenda mbele kutafuta.
He wasingekua na nyumba familia zingekaa wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha nikupe Experience yangu as Credit officer

Sheria inasema apply 1/3 katik mshahara wa mtumishi hii imekuja baada ya watumishi mwanzo walikua wanakopa sana kupindukia mpk kufanya washindwe timiza wajibu wao mtu anakop abaki na kitu mpk nauli ya kwenda kazini hana ivyo serikali ikapitisha sheria hii.

525,000/3=175,000

Take home -1/3 Answer
441,000-175,000=266,000

Inamaana mkopo unaoweza kupata bank yoyote inabidi uwe na Makato ya sh 266,000 kushuka chini.

Ukichukua mkopo wa makato ayo inamaana mshahara utakao kua unachukua baada ya makato ya bank ni 175,000 kila mwezi mpk mkopo utakapo isha inategemea na muda wa mkopo labda miezi 6,12,24,36,48,60,72 au 84.

Swali linakuja utaweza ishi kwa iyo pesa 175k kila mwezi kukushi gharama za maisha au tu assume umekubali wakati 260k means 6000 itabaki je unaweza ishi kwa 200k kila mwezi kukidhi maisha yako? Kula, kuvaa, Nauli ya kwenda kituo cha kazi, kodi kulipa na Maji, mzazi akiwa na shida kidogo utaweza msaidia?

USHAURI

1.Kama unataka kukopa nakushauri ufikilio ilo la juu nlilo kuuliza ukipata majibu naomba uchukue mkopo mfupi wa miaka 3-4 alafu makato atleast usizidishe 120k komea apo uone unapata kiasi gani
Muulize afisa mikopo kwa kato la 120k miaka 3 (miezi 36) unapata kiasi gani na miaka 4 (miezi 48) unapata kiasi gani.

2.Taasisi ya kukopa, hapa zipo taasisi nyingi sana zenye riba kubwa na ndogo mfano uliwai jiuliza TPA, TRA kwanini hawakopi kwenye mabank husika ? Jibu ni kua wana SACCOS zao zinazotoza riba Nafuu sana mfano TRA SACCOS wana liba ya 11% kwa mwaka ndio maana hauwezi kuwaona wanaenda kukopa kwenye mabank yenye riba za 15%-20%.

Nakushauri ukitaka kopa fanya reserch ya bank kama tano kulinganisha unafuu wa riba kwakua riba zinatofautiana na kwa maana iyo ina maana kato la 120k kwa muda labda wa miezi 36 mfano NMB na CRDB utapata pesa tofauti sana kwakua
Riba zao ziko tofauti.
Ila hapa naomba nkushauri kama unataka mkopo katika sehemu uliyopo watafute BOA bank kwa sasa ni best of all kwani wao wana riba ya 9% uku Bank nyingine mfano CRDB,Akiba, Access,NMB etc wana 16%, 17%, 18%,20% nk

Usikope katika SACCOS za walimu, Taasisi ndogo ndogo za fedha kama Bayport, Tunakopesha limited, Platinum Credit limited, Fanikiwa,Faidika,Maboto,Banc ABC.
Hizi taasisi zitakupelekea ujute kukopa katika maisha yako wana riba kubwa sana mfano kuna taasisi apo zina riba ya 36%,45%,48% na nyingine 50% sijataka kuzisema kua riba hii ni ya taasisi fulani kuepuka sema nawaharibia biashara na kwa kato ilo la 120k ukienda kwao unaweza ambiwa unapata 2-3M kwa miezi ata 48 uku ukienda Bank kwa kato ilo miezi 48 unaweza pata 6-9M.
Taasisi hizi huwa na tabia ya kuja ofisini kwa mtumishi wanafanya presentation kwa ahadi ya kupata mkopo kwa masaa 24.

3. Mahesabu ya Riba au Rejesho utakalo kua unadaiwa.
Kutaka kujua Rejesho lako kwa taasisi husika tunafanya ivi
Mfano: Nitakatwa 120k kila mwezi kwa muda wa miezi 48 inamaana apo kiwango unachobidi urejeshe ni,
120,000*48= 5,760,000
Unaangalia mkopo ulio chukua mfano 4,900,000
Hivyo 5,760,000-4,900,000=860,000
Hii 860,000 ndio riba ya mkopo wako kwa muda wote.

4. Usikope pesa nyingi kuanzisha biashara tunashauri watu wakope kuendeleza biashara na si kuanza biashara kwa nini?
Kuendeleza biashara ni rahisi kwakua changamoto za biashara yako unazijua vizuri ila kuanza biashara haujui soko lako uhimala wake mfano ukikopa pesa na yote uweke kwenye mzunguko na biashara ikaenda vibaya, mzigo ukiharibika, mzigo ukiibiwa au wanunuzi wakikosekana kulingana na hali iliyopo mfano kipindi hiki cha ugonjwa wa dunia unafikili wangapi wanafikilia kujenga ilihali hawaijui kesho vyakula vikipanda bei au wakitangaza lockdown hakuna kwenda makazini biashara yako itakua mahala pabaya kwakua hakuna wa kununua bidhaa yako ya cement kujenga watu watakua wana spend kwenye kula na kunywa sana.

Hivyo ukikopa mfano 6M weka 3M yaani nusu ya pesa ubaki na balance ya 3M uku ukisoma biashara taratibu sana hii ni kwa biashara inayo anza kuishi maisha ya msoto kwa mshahara nusu wa 200k mpk 250k kila mwezi sio kitu kidogo na hii ni life process itakayokuchukua miaka 3-4

NB Tafuta kuna uzi hunu ndani unaoeleza jinsi watu mikopo ilivyo wafilisi na kuwarudisha nyuma kimaisha usikimbilie mkopo kama hauna elimu ya mkopo na kama hauna uhitaji usifanye jambo kwakua umeambiwa ni fursa chukua muda kudadavua vuzuri utakuja juta kama hauna plan b na ata kituo cha kazi unaweza kukiona kichungu ukakimbia kazi yenyewe kisa Madeni mengi.

Nina cases za walimu wengi walio kopa mikopo mambo yakaenda ndivyo sivyo na Mikopo iko kama Mashetani ukianza kopa hautokuja acha kamwe maishani utakopa mpaka unajikutaumekua mzoefu yani Salary slip unakuta makato taasisi kama 5 ivi bado wale wa Cash unakuta mtu anapokea mpk elfu 80k kwa mwezi kutoka laki 480k uko alafu anamadeni mtaani anabaki na 50K apo anaon bora ajichanganye kuwa boda boda tu.
Mfano kuna jamaa nliwai mkopesha pesa anapokea 75k alafu ni muhasibu wa Mahakama asee mpk nlikua nashangaa uyu jamaa anaishi vipi na apo ana mke na mtoto mchanga afu jamaa alikua anapiga maji sana aya maish ni full stress tu


Sent from my iPhone using JamiiForums


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanda crdb processing fee na insurance ni ndogo ukilinganisha na NMB, pia riba ya crdb inapungua kadri deni linavyopungua tofauti na NMB
Sio kweli. Hata mimi nilidhani hivyo ila kiuhalisia ni uongo mtupu. Tafadhali usimpotoshe mleta mada.
 
Sio kweli. Hata mimi nilidhani hivyo ila kiuhalisia ni uongo mtupu. Tafadhali usimpotoshe mleta mada.
Mimi nimeenda kukopa ushahidi ninao, mwache na yeye aende akajionee tofauti, pia na wewe weka huo uhalisia wako, unless wewe ni staff wa NMB😀😀
 
Nilichogundua, wafanyakazi wengi wa serikali ambao mishahara yao ni kima cha chini ni ngumu sana kujenga au kufanya jambo lolote la maendeleo bila ya kuchukua mkopo. So kutegemea mshahara ni sawa na kurudi nyuma kimaendeleo hivyo ni afadhali kuchukua mkopo

ᵃʳᵉᵉᵐ
 
Mimi nimeenda kukopa ushahidi ninao, mwache na yeye aende akajionee tofauti, pia na wewe weka huo uhalisia wako, unless wewe ni staff wa NMB😀😀
Mkuu au labda mimi ndio sielewi, pia mimi sio staff wa NMB na wala sifanyi kazi ya uhasibu.

Mfano, kama ulichukua 30m na makato ni 400,000 kwa mwezi, kwenye reducing rate natarajia kadri deni linavyoisha marejesho nayo yawe yanapungua!

Mpaka hapa niko sahihi?
 
Mkuu au labda mimi ndio sielewi, pia mimi sio staff wa NMB na wala sifanyi kazi ya uhasibu.

Mfano, kama ulichukua 30m na makato ni 400,000 kwa mwezi, kwenye reducing rate natarajia kadri deni linavyoisha marejesho nayo yawe yanapungua!

Mpaka hapa niko sahihi?
ndio unavyokatwa marejesho yanapungua,. ila nilichomaanisha kwenye interest ni kwamba mfano NMB RIBA NI 17% Inazidishwa kwa miaka yote ambayo utakaa na fedha zao. But kwa CRDB ni kuwa riba itapigwa kadri deni linavyopungua kwa kila mwaka. I stand to be corrected
 
Back
Top Bottom