Mikopo CRDB na NMB

Mikopo CRDB na NMB

MKuu unataka kukopa ili ufanye nini? nakushauri utafute mtu mwenye uzoefu na mikopo akupe japo abc kuhusu mikopo kwani kwa basic salary yako naona kama unachoweza kufanya kwa ufanisi labda kma una biashara ambayo una uhakika ukiongeza hiyo pesa itafanya vizuri zaid; sikushauri ukope uanze biashara mpya kwa asilimia kubwa utafeli.

Pia ni lazima ufanye hesabu zinzohusu interest yaani gharama ya huo mkopo kwani mwisho wa sku ukikopa utakatwa mkopo let say kwa miaka 5 halfu unapoke 1/3 ya mshahara ambao ni 500k hutaweza kuishi utafanya kazi kwa shida sana. Ushauri wangu jiulize unachotaka kufanya kina tija kuliko interest ya huo mkopo kwa mwezi? kama jibu ndi ndio pata ushauri endelea na wazo lako, kama jibu ni hapana basi achana na mkopo tafuta namna nyingine ya kuongeza kipato ili mutimize malengo yako.
Ndgu kweli nimekusoma japo usisite kunishauri tena nahitaji mawazo zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisikilize Mimi bro,NMB is the best maana mkopo wao Ni fasta tofauti na CRDB maana Hawa milolongo kukuki na inaweza chukua hata mwezi ikiwa upo mbali kidogo na tawi lao,interest rate yao Ni moja TU ya 17% na wote wanatumia njia moja ya makato ya REDUCING BALANCE.Narudia Tena CRDB utachakaza sole ya viatu vyako wakati kiwango Cha mkopo ni kilekile.
 
mzee una uzoefu na mikopo ya CRDB . . . ?
 
Ndgu kweli nimekusoma japo usisite kunishauri tena nahitaji mawazo zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kupata ushauri mzuri, ni vyema ukaweka taarifa za kutosha yaani mtu ajue unachotaka kufanya na pengine wanajukwaa wanaweza kuwa na uzoefu na kitu unachotaka kufanya wakakushauri.

Usiogope kuweka bayana unachotaka kufanya kwani hapo ndio utapata ushauri mzuri, mim at one time nilikuwa nafanya hii biashara kabla serikali haijaamua kutaka wote wanaofanya biashara ya fedha wajisajili wakati mwingine unamkopesha mtu unaona kabisa mpaka anarudisha hela ni kama hana alichopata ni kama alimfanyia kazi mkopeshaji.
 
MKuu unataka kukopa ili ufanye nini? nakushauri utafute mtu mwenye uzoefu na mikopo akupe japo abc kuhusu mikopo kwani kwa basic salary yako naona kama unachoweza kufanya kwa ufanisi labda kma una biashara ambayo una uhakika ukiongeza hiyo pesa itafanya vizuri zaid; sikushauri ukope uanze biashara mpya kwa asilimia kubwa utafeli.
Sometimes, huwezi kuendelea bila ku-take risk. Kama biashara itampa boom la maana akope tu as long as atapata faida
 
Ukitaka kupata ushauri mzuri, ni vyema ukaweka taarifa za kutosha yaani mtu ajue unachotaka kufanya na pengine wanajukwaa wanaweza kuwa na uzoefu na kitu unachotaka kufanya wakakushauri.

Usiogope kuweka bayana unachotaka kufanya kwani hapo ndio utapata ushauri mzuri, mim at one time nilikuwa nafanya hii biashara kabla serikali haijaamua kutaka wote wanaofanya biashara ya fedha wajisajili wakati mwingine unamkopesha mtu unaona kabisa mpaka anarudisha hela ni kama hana alichopata ni kama alimfanyia kazi mkopeshaji.
Kiongoz mazingra ya niliko so mahala rafiki kutengeneza pesa pili biashara ambayo nataka mm niifanye ni ya uuzaji Wa vitu ambavyo uliyemweka hawezi kuiba kama kuagiza cement kutoka kiwandani na kuiuza rejareja na jumla kama MTU atahitaj mingi mfano mzigo Wa tan 30 yaani mifuko 600 naugawanya katika vituo vitatu ambavyo vimechangamka mfano sehemu ambapo panajenga daily kama wilaya hizi mpya huku nikitegemea mzigo uwe umeisha ndani ya mwezi mmjo na kama itakuwa hvyo Bas nitakuwa na uhakika Wa kutengeneza 1000k kwa mwez jambo ambalo litakuwa linanisukuma kidogo mbele.

Mfano kiwandani Dangote cement kuna jamaa kanielekeza kuwa mfuko 32.5 mpaka unafika kwangu utakuwa umekost 16200 42.5N sh. 16450 na 42.5R utafika kwa 16700 mm nauza kwa 18500 au 18000 huku nikiwa najua washindani wangu wanauza 19000 na 18500 I mean nashusha kidogo napretend kupata 2000 tu kila mfuko.

So kwa hyo kama hvyo japo nahitaji ushauri na mwanga zaidi kutoka kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisikilize Mimi bro,NMB is the best maana mkopo wao Ni fasta tofauti na CRDB maana Hawa milolongo kukuki na inaweza chukua hata mwezi ikiwa upo mbali kidogo na tawi lao,interest rate yao Ni moja TU ya 17% na wote wanatumia njia moja ya makato ya REDUCING BALANCE.Narudia Tena CRDB utachakaza sole ya viatu vyako wakati kiwango Cha mkopo ni kilekile.
NMB Wana hela nyingi Kama bima ya mkopo kuliko CRDB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee habari zenu!

Napokea mshahara Wa 525k kama basic salary ambapo take home ni kama 441k nataka nichukue mkopo bank mojawapo hapo.

Naomba kujulishwa nitapata mkopo gani wa juu na nitatakiwa kurudisha au kukatwa kiasi gani cha pesa kwenye miaka ya marejesho ya mkopo.

Kazi kwenu wadau!

Wacha nikupe Experience yangu as Credit officer

Sheria inasema apply 1/3 katik mshahara wa mtumishi hii imekuja baada ya watumishi mwanzo walikua wanakopa sana kupindukia mpk kufanya washindwe timiza wajibu wao mtu anakop abaki na kitu mpk nauli ya kwenda kazini hana ivyo serikali ikapitisha sheria hii.

525,000/3=175,000

Take home -1/3 Answer
441,000-175,000=266,000

Inamaana mkopo unaoweza kupata bank yoyote inabidi uwe na Makato ya sh 266,000 kushuka chini.

Ukichukua mkopo wa makato ayo inamaana mshahara utakao kua unachukua baada ya makato ya bank ni 175,000 kila mwezi mpk mkopo utakapo isha inategemea na muda wa mkopo labda miezi 6,12,24,36,48,60,72 au 84.

Swali linakuja utaweza ishi kwa iyo pesa 175k kila mwezi kukushi gharama za maisha au tu assume umekubali wakati 260k means 6000 itabaki je unaweza ishi kwa 200k kila mwezi kukidhi maisha yako? Kula, kuvaa, Nauli ya kwenda kituo cha kazi, kodi kulipa na Maji, mzazi akiwa na shida kidogo utaweza msaidia?

USHAURI

1.Kama unataka kukopa nakushauri ufikilio ilo la juu nlilo kuuliza ukipata majibu naomba uchukue mkopo mfupi wa miaka 3-4 alafu makato atleast usizidishe 120k komea apo uone unapata kiasi gani
Muulize afisa mikopo kwa kato la 120k miaka 3 (miezi 36) unapata kiasi gani na miaka 4 (miezi 48) unapata kiasi gani.

2.Taasisi ya kukopa, hapa zipo taasisi nyingi sana zenye riba kubwa na ndogo mfano uliwai jiuliza TPA, TRA kwanini hawakopi kwenye mabank husika ? Jibu ni kua wana SACCOS zao zinazotoza riba Nafuu sana mfano TRA SACCOS wana liba ya 11% kwa mwaka ndio maana hauwezi kuwaona wanaenda kukopa kwenye mabank yenye riba za 15%-20%.

Nakushauri ukitaka kopa fanya reserch ya bank kama tano kulinganisha unafuu wa riba kwakua riba zinatofautiana na kwa maana iyo ina maana kato la 120k kwa muda labda wa miezi 36 mfano NMB na CRDB utapata pesa tofauti sana kwakua
Riba zao ziko tofauti.
Ila hapa naomba nkushauri kama unataka mkopo katika sehemu uliyopo watafute BOA bank kwa sasa ni best of all kwani wao wana riba ya 9% uku Bank nyingine mfano CRDB,Akiba, Access,NMB etc wana 16%, 17%, 18%,20% nk

Usikope katika SACCOS za walimu, Taasisi ndogo ndogo za fedha kama Bayport, Tunakopesha limited, Platinum Credit limited, Fanikiwa,Faidika,Maboto,Banc ABC.
Hizi taasisi zitakupelekea ujute kukopa katika maisha yako wana riba kubwa sana mfano kuna taasisi apo zina riba ya 36%,45%,48% na nyingine 50% sijataka kuzisema kua riba hii ni ya taasisi fulani kuepuka sema nawaharibia biashara na kwa kato ilo la 120k ukienda kwao unaweza ambiwa unapata 2-3M kwa miezi ata 48 uku ukienda Bank kwa kato ilo miezi 48 unaweza pata 6-9M.
Taasisi hizi huwa na tabia ya kuja ofisini kwa mtumishi wanafanya presentation kwa ahadi ya kupata mkopo kwa masaa 24.

3. Mahesabu ya Riba au Rejesho utakalo kua unadaiwa.
Kutaka kujua Rejesho lako kwa taasisi husika tunafanya ivi
Mfano: Nitakatwa 120k kila mwezi kwa muda wa miezi 48 inamaana apo kiwango unachobidi urejeshe ni,
120,000*48= 5,760,000
Unaangalia mkopo ulio chukua mfano 4,900,000
Hivyo 5,760,000-4,900,000=860,000
Hii 860,000 ndio riba ya mkopo wako kwa muda wote.

4. Usikope pesa nyingi kuanzisha biashara tunashauri watu wakope kuendeleza biashara na si kuanza biashara kwa nini?
Kuendeleza biashara ni rahisi kwakua changamoto za biashara yako unazijua vizuri ila kuanza biashara haujui soko lako uhimala wake mfano ukikopa pesa na yote uweke kwenye mzunguko na biashara ikaenda vibaya, mzigo ukiharibika, mzigo ukiibiwa au wanunuzi wakikosekana kulingana na hali iliyopo mfano kipindi hiki cha ugonjwa wa dunia unafikili wangapi wanafikilia kujenga ilihali hawaijui kesho vyakula vikipanda bei au wakitangaza lockdown hakuna kwenda makazini biashara yako itakua mahala pabaya kwakua hakuna wa kununua bidhaa yako ya cement kujenga watu watakua wana spend kwenye kula na kunywa sana.

Hivyo ukikopa mfano 6M weka 3M yaani nusu ya pesa ubaki na balance ya 3M uku ukisoma biashara taratibu sana hii ni kwa biashara inayo anza kuishi maisha ya msoto kwa mshahara nusu wa 200k mpk 250k kila mwezi sio kitu kidogo na hii ni life process itakayokuchukua miaka 3-4

NB Tafuta kuna uzi hunu ndani unaoeleza jinsi watu mikopo ilivyo wafilisi na kuwarudisha nyuma kimaisha usikimbilie mkopo kama hauna elimu ya mkopo na kama hauna uhitaji usifanye jambo kwakua umeambiwa ni fursa chukua muda kudadavua vuzuri utakuja juta kama hauna plan b na ata kituo cha kazi unaweza kukiona kichungu ukakimbia kazi yenyewe kisa Madeni mengi.

Nina cases za walimu wengi walio kopa mikopo mambo yakaenda ndivyo sivyo na Mikopo iko kama Mashetani ukianza kopa hautokuja acha kamwe maishani utakopa mpaka unajikutaumekua mzoefu yani Salary slip unakuta makato taasisi kama 5 ivi bado wale wa Cash unakuta mtu anapokea mpk elfu 80k kwa mwezi kutoka laki 480k uko alafu anamadeni mtaani anabaki na 50K apo anaon bora ajichanganye kuwa boda boda tu.
Mfano kuna jamaa nliwai mkopesha pesa anapokea 75k alafu ni muhasibu wa Mahakama asee mpk nlikua nashangaa uyu jamaa anaishi vipi na apo ana mke na mtoto mchanga afu jamaa alikua anapiga maji sana aya maish ni full stress tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unaangalia mkopo ulio chukua mfano 4,500,000

Laiv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisikilize Mimi bro,NMB is the best maana mkopo wao Ni fasta tofauti na CRDB maana Hawa milolongo kukuki na inaweza chukua hata mwezi ikiwa upo mbali kidogo na tawi lao,interest rate yao Ni moja TU ya 17% na wote wanatumia njia moja ya makato ya REDUCING BALANCE.Narudia Tena CRDB utachakaza sole ya viatu vyako wakati kiwango Cha mkopo ni kilekile.
Crdb ni kichefuchefu, kwenye fomu zao lazima zithibitishwe mahakamani, uende TRA kununua stamp duty, lazima waende kweny kituo chako cha kazi kuthibitisha kama kweli unafanya kazi hapo, hapo ni nje na sahihi na mihuri ya mkuu wa idara yko na mwajiri.

Wakawahi sana ni wiki mbili wakat nmb ukirudisha fomu same day or next day mzigo unaingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeua band mzee,Sasa ukilinganisha muda wa kukamilika na wingi wa milolongo,utaona kuwa NMB ana unafuu mkubwa kuliko hao pimbi.
Crdb ni kichefuchefu, kwenye fomu zao lazima zithibitishwe mahakamani, uende TRA kununua stamp duty, lazima waende kweny kituo chako cha kazi kuthibitisha kama kweli unafanya kazi hapo, hapo ni nje na sahihi na mihuri ya mkuu wa idara yko na mwajiri. Wakawahi sana ni wiki mbili wakat nmb ukirudisha fomu same day or next day mzigo unaingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom