Geofrey Maseta
JF-Expert Member
- Nov 24, 2015
- 1,115
- 917
Anayebisha kuwa sumbawanga hakuna uchawi ni muongo kweli kweli ...nimezaliwa sumbawanga nimesomea huko na nimekulia huko ...mzee alikuwa mwalimu ktk vijiji vya mfinga ..kisa ..milepa ...sandurula ..kilembo ..mpembano na kisha Laela ....aiseeee tumelazwa nje sana sana ...anayebishia hayajamkuta aiseeee ...mzee aliwahi mkuchapa fimbo za kutosha ndg yake mbunge wa kwela MH.Malocha ...mzee mkono ulinyooka tu mpk alipoenda kwa baba yao na akina malocha na kuomba msamaha ndo mkono ukarudi kwenye hali yake ....nyie bisheni tu lkn huo ndo ukweli bhana