Mikoa wa Katavi na Rukwa ni kiboko

Mikoa wa Katavi na Rukwa ni kiboko

Nimezaliwa hospital ya masista chala st joseph (ile ya zamani karibu na uwanja wa shule sio mpya) Nimeshoma shule ya msingi chalantai na secondary ya chala , nimewai kuishi Namanyere , kipiri, kala, kaengesa, karema, mwese, mpanda, kambanga, kibo, sumbawanga mjini Nk,
Kiufupi naifahamu Rukwa na Katavi nje ndani ( bara na ziwani)
Kuna sehemu nyingi ambazo zinavutia sana kutembelea kama hifadhi ya katavi, kalambo force kuna vyakula vizuri sana samaki na dagaa wazuri na wenye radha nzuri kuliko wote tz, watu wanalima sana mahindi, maharage, mpunga nk, na ardhi ina rutuba ya kutosha kiufupi suala la njaa kule ndoto,
Kuhusu uchawi na magonjwa ya ajabu kama mleta uzi anavyodai sipingi wala sikubali maana kila jamii ina imani zake
Suala la uchawi n suala la imani ni kweli kuna maeneo yana wanaoitwa wachawi na waganga ila vingi ni story tu kama ulikuwepo ilikuwa zaman sana ila walichokifanya wazee waliopo sasa wamebaki wanatumia ule uzee wao na history kuwatisha watu tu, jamii ya wachawi walikufa na uchawi wao na waganga walikufa na dawa zao maana hawakutaka kuwarithisha wajukuu na watoto wao waliorithi n wachache sana ndio maana hata habar za uganga Sumbawanga cku hzi utaibiwa tu, watu wamekufa na utaalamu wao eg kina Mzee Maua,
Ukienda Sumbawanga utasikia story tu ila hakuna hao mapaka wala nn watu wanaishi kwa history tu, ila sehemu inayobaki kuwa hatari ni pwani ya ziwa Tanganyika huko cheza salama
Wewe acha ujinga kutetea Ulozi.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wengi wanaotoka pande hizo huwa wana sura nzito sana sijui kwa nini?Joke [emoji12][emoji12][emoji8]
 
PA
Wewe acha ujinga kutetea Ulozi.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
NILIWAHI KWENDA SUMBAWANGA NA KATIKA KUELEKEA UPANDE WA RANCHI YA MIFUGO NJIANI KUNA KILIMA AMBACCHO NILIONA BENDERA NADHANI HAZIPUNGUI SABA ZA RANGI MBALIMBALI NA KUSIMIKWA MOJAIKIANZIA CHINI NA NYINGINE JUU MPAKA YA JUU KABISA. NILIELEZWA ZILE NI ZA WACHAWI WALIOBOBEA. UKIWEZA FIKISHA BENDERA YAKO PALE WEWE NI MTU MZIMA. NA Kdri ulivyo mkali bendera yako inapepea juu zaidi. SIJAWAHI KUAMINI YA UCHAWI LAKINI WA HUKO WATUELEZEE ZILE BENDERA NI ZA NINI NA ZIMEWEKWA NA NANI? HII RANCHI IKO INAELWKEA ZIWANI
 
Back
Top Bottom