Mikoa wa Katavi na Rukwa ni kiboko

Mikoa wa Katavi na Rukwa ni kiboko

Mleta mada ni vema ukakiri asilimia kubwa ya andiko lako umehadithiwa. Nimefika huko na kukaa kwa muda, mengi yanayosemwa ni hadithi tu. Ingawaje aliyeweka point ya kijiji cha Kalundi huko Nkasi kuwa na watu waliofukuzwa sehemu nyingine kwa imani za kishirikina yuko sahihi kwa kwa kiasi Fulani maana hicho kijiji hakuna paka hata mmoja, usiniulize kwa nini!!
 
Ulinihadithia wewe au nani?Maana mpaka sasa ninaandika nikiwa hapa katavi na hata kesho naweza kukutana na tukio jingine.
 
katavi nimekaa sana na mwezi ujao ntakuwa huko, daa! watu wanga sana roho mbaya kiwango cha lami

kuna familia mtoto/watoto wakiwa wanasoma wanapigwa juju ya kukataa shule ama kupata mikosi ya kila namna?

watoto wadogo nao wanga tu, wakubwa ni ndagu mwanzo mwisho kupata familia 20 ambazo sio wanga ni mtihani.

kuna mama mmoja (diwani ) alishindwa kura ya maoni kugombea udiwani na kijana wa 4m6 dogo hakuchukua round chaliiii

hata mkurugenzi aliye fariki mwaka huu (yule kijana niliona bandiko la tanzia humu) alipigwa juju na mzee mmoja aliye taka mwajibisha baada ya upotevu wa pesa za umma mzee akafanya yake.

radi zinauzwa mkuu ushishangae, kanatokea kakijiwingu kadogo tu hata kama umejificha kwenye kundi la watu radi inakuchomoa na kukugalagaza vibaya muno.
 
Bora unisaidie ndugu maana mimi nimeona na kusikia.
 
Tangu nianze kutembelea hii mikoa katika maeneo mbalimbali kama Inyonga,Majimoto,sumbawanga,mpimbwe na hapa katavi mjini nimekutana na watu wenye magonjwa ya kushangaza sana.Nilikutana na mama mmoja ambaye mwili wake wote ulikuwa umeharibika(Ni dhambi kusema umeoza) huku ukimwaga maji chapachapa.

Siku nyingine ndani ya basi nilishangaa kumuona mzee mmoja aliyekuwa amepanda na dumu la maji la lita tano na kila baada ya muda mfupi alikuwa akijimwagia maji kwa madai kuwa miguu yake inawaka moto.

Pia wakazi wa huko walinishangaza baada ya kuniambia kuwa huko kwao radi inauzwa,nilishngaa kwa sababu najua radi ni umeme tuli.Lakini jamaa waliniambia nikitaka hata kwa elfu kumi ninaipata [emoji102][emoji102][emoji102].

Pia mtu alishawahi kupanda basi na kuwafanya wasafiri wenzake wote kushindwa kula wala kunywa maana alikuwa na kidonda kikubwa ambacho kilikuwa na wadudu na kilifanya hali ya hewa ya basi zima kubadilika na hata aliposhuka hali haikuwa shwari.

Nimetembea sehemu nyingi sijawahi kukutana na maradhi ya aina hii lakini nilipowauliza wakazi wa maeneo haya walihusisha maradhi hayo na imani za kishirikina.

Najua mtaomba picha,picha ninazo lakini sina ujasiri wa kuzianika mtandaoni.

Hao watu wa Katavi na Sumbawanga wanauza radi bei ghali sana. Mtu akitaka radi aende Kibondo, kule radi inaanzia jero tu na unaweza kubargain pia.
 
Acheni uongo na kutuchafulia mikoa yetu.!
mkuu nakupa mifano ya uchawi katavi.

pale msakila kwenye kona kama unatoka uwanjani (azimio) kwenda kawajense (kompaundi, ikulu) pale wanaloga sana ndo maana ajari za ajabu ajabu kila siku

Toka hapo njoo hii nyumba baada ya kukata kona iyo iyo nyumba ya kwanza ile kila anaye ingia lazima aume shuka

kuna mitaa katavi karibu wote wanga tu, hawataki watoto wasome na wengi wao wanakuwa walevi wa kutupwa tena katika umri mdogo (kawajense namba 1 na 2)

Uliza ma askari wangapi wamekataa kazi katavi na kulowea kwenye ulevi (sio ulevi wa kawaida ule ni juju tu)
 
Sijui labda mabushi bushi huko... Mjini hatuoni hayoo...

Nimeishi sana Swanga..
 
Tanzania ya viwonder...21 century kuna utumbo kama huu..
 
Halafu cha kushangaza mikoa hiyo yenye hizo imani potofu RUKWA/KATAVI na ndugu zao katika teknolojia TANGA wana ardhi kubwa nzuri na yenye rutuba sisi wageni tunaogopa kwenda kufanya kilimo huko kwa ajili ya taaluma zisizo na matiki za hao wenyeji
 
Tanga hawana hizo mambo.
 
Back
Top Bottom