Mikoa wa Katavi na Rukwa ni kiboko

Mikoa wa Katavi na Rukwa ni kiboko

na ukiangalia ndio mikoa maskini ya kutupwa.
Hapo sasa! Hizo powers ndiyo wazungu na wahindi, wachina NK, wazitumia kuleta maendeleo katika nchi zao! Ehh Maulana Mola wangu nisaidie!
 
Hapa nahisi ni kutishana tu, mbona mimi nilitembelea huko lakini mpaka nimeondoka sijakutana na kimbwanga hata kimoja!?
 
Tunaoishi huku tunaishije??

Ndio tuwaulize nyinyi sasa mnaishi vipi mkuu?

Kama ni stori za uzushi uwanja ndio huu jimwage hapa watu tujue ukweli maana tunaambiwa huko kunguru wananyakua ng'ombe halafu inadondoka mifupa ya ng'ombe tu.

Swanga si kwa mchezo mchezo.
 
Msiwe Mnaamini vitu vya kuambiwa nendeni mkaishi na watu wa huko mtapata ukweli!! Ww unayesema kijiji cha kalundi ni sehemu ambako wachawi wamekimbilia ww ni muongo tena muongo mkubwa na unatakiw kuwaomba msamaha wanakarundi kwa kuwapa sifa isiyokuw yakwao. Mimi natokea maeneo hayo kijiji cha sintali ambacho kipo kusini mwa kalundi km8 hivi. Acheni kulopoka kuhusiana na nkasi yetu tafadhali tuheshimiane!!!
Mnatetea uchawi
 
Ndio tuwaulize nyinyi sasa mnaishi vipi mkuu?

Kama ni stori za uzushi uwanja ndio huu jimwage hapa watu tujue ukweli maana tunaambiwa huko kunguru wananyakua ng'ombe halafu inadondoka mifupa ya ng'ombe tu.

Swanga si kwa mchezo mchezo.
Mnaamini stori za mitaani zisizo na msingi.!
 
Sumbawanga moja..
Bh5dQWTCAAAT02r.jpg
 
Aisee naona chala upafahamu wewe pale mitaa ilikuwa na umeme tangu 1875 na kingine kabla hamjamjua msouth cc tayari nyumba zetu zina vigae tangu enzi hzo, chala n sehemu iliyojengwa kwa kufata mitaa nyumba kwa nyumba kijiji kizima
Mkuu unaizungumzia Challa ipi?labda ya Moshi.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa yako hata dada yangu mpendwa alifariki mwaka jana baada ya kukutana na maradhi ya kupandikiziwa na mtu wake wa karibu kwa lengo la kuwa na mali.Dada yangu alikuwa akiishi mpanda mjini.Tembea uone.Kama unaamini uwepo wa Mungu bila kukubali kuwa ushirikina upo basi imani yako ni haba kwa sababu hata Manabii walipigana vita dhidi ya nguvu za giza.
Sikatai ushirikina upo ila sio kuwa na imani ya kuhusianisha kila kitu na ushirikina. Yaani kwa sababu unaskiaga huko kuna ushirikina basi unahusisha kila kitu na imani za kishirikina? Kama ni hivyo kanda ya ziwa hutoweza kuishi
 
Back
Top Bottom