Mikoa wa Katavi na Rukwa ni kiboko

Nasikia huko unaweza shangaa mwewe akahamisha nyumba kwa kuibeba..nasikia kuna magwiji wa kuamini ushirikina
 
Mbona mikoa hiyo kuna mazuri mengi ambayo yanachangia uchumi wa Taifa letu mfano kuna madini mengo sana.kuna mbuga kubwa nzuri ya wanyama Katavi national park.kuna ziwa Tanganyika linatoa samaki wazuri aina ya migebuka,Sangara,Nonzi,Kuhe,dagaa na wengine wengi.pia kuna ziwa Rukwa maarufu kwa magege.kwahiyo mikoa hiyo sio mibaya ya uchawi tu yapo mambo mazuri sana
 
Wanao kanusha habari za uchawi Sumbawanga acha wakanudhe, maana lipo linalowahusu. Juzi tu nadhani kati ya mwezi wa tatu ama wa nne, afisa mtendaji alilazwa nje ya nyumba yake, yeye na familia yake yote, mbaya zaidi wote wako uchi wa mnyama, wameamka asbuhi wako nje uchi Baba, mama na watoto wa kike na kiume, halafu mnakanusha vitu ambavyo vipo. Hii nilisikia mwenyewe jamaa akiripoti kupitia radio free. Miaka nyuma nilisoma habari gazeti la mfanyakazi wakati huo, huko Sumbawanga kijana mmoja aliekua anamfukuza ng'ombe aliekua anakula mazao yaliyopandwa karibu na nyumba yao. Kitendo cha kumchapa fimbo yule ng'ombe, ile fimbo iliwaka moto pale pale. Na yeye akanza kuota mvi siku ile ile, na akawa mzee siku ile ile, mpaka akazeeka kiasi cha kuwa babu hasa siku ile ile. Na hatimae kuumwa na kufari siku ile ile. Na kisa kingine nitakiweka baadae jioni, ni visa vya kweli ambavyo huwezi vipata kwingine Tanzania ispokua Sumbawanga.

Hamna chochote ulichoshuhudia mwenyewe. Yote uliyosema ni kusikia ama kusoma kwenye Magazeti. Siamini kamwe mimi
 
Kule Nkasi Sumbawanga kata ya Kipili hii kata ipo karibu na ziwa Tanganyika kuna Mzee mmoja aliuza kiwanja kwa Kijana fulani baadae yule Kijana akataka aanze ujenzi kwa kununua tofali. Kijana akamfuata mwenyeji wake yule Mzee kumuuliza kuhusu usafirshaji wa hizo tofali Mzee akamwambia Kijana tukubalie bei halafu wewe nenda zako utakuta Tofali zako zote hapa kiwanjani kwako wakati wanakubaliana hayo ilikuwa in saa12 jioni. Kesho yake asubuhi saa1 Kijana akarudi kwa Mzee kumpa hela ya usafirishaji kwenda anashangaa kukuta Tofali zote zipo pale kiwanjani. Kubwa zaidi lililomshtua ni kusikia wanakijiji wakilalamika kuwa usiku hawakulala na wote wameamka na Vumbi la Mchanga wa tofali kuanzia wanaume mpaka wakina mama kwa maana hiyo Mzee alibebesha kijiji kizima Tofali.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
ha haha mzee nouma
 
Mimi ni mfipa originaly tena asili yetu ni zambia ila sumbawanga ndo ukoo ulianzia pale baada ya babu yangu kuhamishiwa migodini huko sumbawang kutoka zambia babu yangu sio wa upand wa baba wala mama ni babu wa kweny ukoo tu mzee ni mchawi ana matukio ya ajabu sana kuja dar kwake ni kama utoke ndani uende nje
siwez weka matukio yake hadharani
mi ndo wa jina lake mikoba yake alitak nikabidhi mimi nikampinga vibaya sana
 
Chukua uje uniuzie
 
Mmh hiyo avatar yako tu inajionesha kuwa ulistahili kupewa mikoba mkuu but hongera kwa kuikwepa
 
Mbona mikoa hiyo kuna mazuri mengi ambayo yanachangia uchumi wa Taifa letu mfano kuna madini mengo sana.kuna mbuga kubwa nzuri ya wanyama Katavi national park.kuna ziwa Tanganyika linatoa samaki wazuri aina ya migebuka,Sangara,Nonzi,Kuhe,dagaa na wengine wengi.pia kuna ziwa Rukwa maarufu kwa magege.kwahiyo mikoa hiyo sio mibaya ya uchawi tu yapo mambo mazuri sana
Wakuu s/mjini kuna neema na sijui haya mabaya yako wapi, mbona hapa shwari kabisa? Binafsi nafurahia maisha ya hapa mjini swanga!!
 
Kule Nkasi Sumbawanga kata ya Kipili hii kata ipo karibu na ziwa Tanganyika kuna Mzee mmoja aliuza kiwanja kwa Kijana fulani baadae yule Kijana akataka aanze ujenzi kwa kununua tofali. Kijana akamfuata mwenyeji wake yule Mzee kumuuliza kuhusu usafirshaji wa hizo tofali Mzee akamwambia Kijana tukubalie bei halafu wewe nenda zako utakuta Tofali zako zote hapa kiwanjani kwako wakati wanakubaliana hayo ilikuwa in saa12 jioni. Kesho yake asubuhi saa1 Kijana akarudi kwa Mzee kumpa hela ya usafirishaji kwenda anashangaa kukuta Tofali zote zipo pale kiwanjani. Kubwa zaidi lililomshtua ni kusikia wanakijiji wakilalamika kuwa usiku hawakulala na wote wameamka na Vumbi la Mchanga wa tofali kuanzia wanaume mpaka wakina mama kwa maana hiyo Mzee alibebesha kijiji kizima Tofali.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Hahahahaaa kipili noma.. Nimecheka sana..nikakumbuka watafiti wa UDSM walipoenda kufanya research ya maji Nkasi ile wamefika kupiga kambi usiku wake wakalala fresh..ile kuamkia sana Chale mpk kwenye vichwa vya mbo0 ikabidi wafungashe virago watimke!
 
Kwani uchawi na uganga ni tofauti!?
Kwa mfano ukipewa huo uchawi.hauwezi kuutumia kwa njia nzuri ya kusaidia watu?
uchawi na uganga ni tofaut mkuu
yaan uchawi ni wivu na ndo hdi uamue sasa kuutumia uchawi kutatulia matatizo
mfano..mganga anawez kuagiza lete kuku lakin mchawi mkuu anawez kukutuma mtoto mchanga ila asilimia kubwa wachawi wanakua matajiri siku mkamate mchawi muombe hata million yuko radh akupe ili tu umfichie siri asikamatwe
 
Back
Top Bottom