Mikoa wa Katavi na Rukwa ni kiboko

Mleta mada unawenge....yaani maradhi ya mtu mmoja mmoja ndio unahusisha na imani za kishirikina? Isitoshe hayo mazingira yote uliyoyaelezea ni ya vijijini na hali za vijiji vya bongo unaijua...huduma za afya mpaka mtu aumwe iwe imeshindikana ndio anaenda hospitali za mijini na hao unaowasema bila shaka ni watu waliokua wanaenda kwenye mahospitali maeneo ya mjini. Labda kama ungesema umeamka umekuta kisigino limehamia kichwani tungekuelewa
 
Mleta mada kama yuko sahii maana mimi nimekaa sumbawanga kwa miez3, lakni isingepta wiki unasikia matangazo ya kupotelewa na watoto. Sumbawanga ukimpa msichana mimba ukaikataa jipange kuamishiwa mimba na uchungu wake, tena kuna mabibi na wazee wengi ombaomba sana weu ndo walkozaliwa.
 
wewe wasema kule ardhi nzuri halafu wenyeji ni wavivu ... sasa jitie kiherehere eti unajua kulima,,, wanakuangalia tuu utastawisha kwa sana siku ya kuvuna ....mabua matupu
Usiwe muongo wewe kwanza kule familia isiyo lima kupata mke ni ngumu kushinda njaa ni aibu wewe unasema wavivu daa uongo wa mchana yawezekana nawe mwanga vilevile hivi unakujua mtwara wewe jembe la kulimia kama mkono wako wavivu hata kuuza duka kwa mwezi kama huu halafu useme Katavi na Rukwa wavivu wewe vipi.
 
Mimi ni mfipa originaly tena asili yetu ni zambia ila sumbawanga ndo ukoo ulianzia pale baada ya babu yangu kuhamishiwa migodini huko sumbawang kutoka zambia babu yangu sio wa upand wa baba wala mama ni babu wa kweny ukoo tu mzee ni mchawi ana matukio ya ajabu sana kuja dar kwake ni kama utoke ndani uende nje
siwez weka matukio yake hadharani
mi ndo wa jina lake mikoba yake alitak nikabidhi mimi nikampinga vibaya sana
Kwahiyo ndiye kakufundisha hayo yote mbona wengine hawana mmetoka nayo huko zambia mnapakazia wafipa ndiyo maana inatwa sumba (tupa)wanga(uchawi) kwahiyo ingia ukiwa safi
 
huku pia nimekutana na mtu anaehitaji msaada wa haraka wa kimawazo kwasababu anashaangaa watu wenye maradhi ya mwili.

yani hii mikoa bwana
 
Plenty of exaggerations.Mlioko Sumbawanga, ila siyo wa Sumbawanga, mmekaa huko muda mrefu nadhani mna tangible informations kuliko za observer wa wiki moja!
Amna kitu hapo zaidi ya story za kusadikika tu!

Swanga kumetulia ata uchawi hakuna siku hizi
 
Nafikili mwandishi wa habari hii ni mpuuzi kupindukia maana hakuna hata kimoja cha maana sijui unataka sifa
Hivi kweli mkoa wa Rukwa ni maskini au ulitaka
ujitekenye ucheke wewe mwenyewe
Mkoa wa Rukwa mkulima wa chini kabisa anapata gunia hamsini wapo watu wanapata gunia MPAka miasita
 
Huko kuna kijiji kule Nkasi kinaitwa Kalundi, huko ni mkusanyiko wa wachawi waliotimuliwa sehem mbali mbali..ukijifanya gangwe wanakukomoa tu unaambiwa unaweza chemsha maharage wiki nzima na hayaivi: kuna siku viongozi wa serikali walikua wanahimiza mchango ujenzi wa maabara! I naambiwa kila walipokua wanatembea wanakutana na wanawake na watoto tu mbaya zaidi wakawa watu wanawacheka mwishowe wakahoji mbona wanachemka kumbe walikua uchi KWAMBA wananchi wanawaona wako uchi...Ila sumbawanga town pazuri mno kuliko hata bukoba! Lami nzuri..kumepangika..bata la kufatu!
Msiwe Mnaamini vitu vya kuambiwa nendeni mkaishi na watu wa huko mtapata ukweli!! Ww unayesema kijiji cha kalundi ni sehemu ambako wachawi wamekimbilia ww ni muongo tena muongo mkubwa na unatakiw kuwaomba msamaha wanakarundi kwa kuwapa sifa isiyokuw yakwao. Mimi natokea maeneo hayo kijiji cha sintali ambacho kipo kusini mwa kalundi km8 hivi. Acheni kulopoka kuhusiana na nkasi yetu tafadhali tuheshimiane!!!
 
Sawa mama naona ushaanza majungu.

Ila mpunguze uchawi.

mnachimbisha watu mashimo ya vyoo usiku.
acha hizo wewe nenda kakese kalime heka yako ya mpunga upate mtaji sio kutembeza ch...pi 2 na soksi 2 eti machinga
 
Msiwe Mnaamini vitu vya kuambiwa nendeni mkaishi na watu wa huko mtapata ukweli!! Ww unayesema kijiji cha kalundi ni sehemu ambako wachawi wamekimbilia ww ni muongo tena muongo mkubwa na unatakiw kuwaomba msamaha wanakarundi kwa kuwapa sifa isiyokuw yakwao. Mimi natokea maeneo hayo kijiji cha sintali ambacho kipo kusini mwa kalundi km8 hivi. Acheni kulopoka kuhusiana na nkasi yetu tafadhali tuheshimiane!!!
Hahahahaaa makinikia ya "kalundi, challa, kipili na kilando utayajua tu" ni jamii yako! We unajua nilifika AMA sijatoka huko? No wonder mnafuga fisi maeneo ya huko! Mbav zenu!
 
Naskia dawa yao unakuwa na ndurandura alaf unaichoma na sindano ya kirungu au unakuwa na kichupa cha mvuje,sema wakikugundua wanakudedisha faster.
 
Back
Top Bottom