Mikoa maskini zaidi yatajwa

Mikoa maskini zaidi yatajwa

Yaani ukitoa Kilimanjaro, mikoa mingine ya Tanzania ni majanga matupu kwa sehemu kubwa. Kiujumla kwa sehemu kubwa ya nchi kuna harufu kali ya umaskini. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya. Serikali izidi kupambana sana kwenye miundombinu, kilimo na elimu. Watu wengi wakipata elimu bora watapambana kujikwamua. Hata Kilimanjaro walitanguliza elimu ndo maana wako hapo walipo.
Unaongelea Kilimanjaro ipi..kule si ndio njaa imetamalaki
 
Its morning again kupokea matusi kwa wahaya....
Tushazoea...
Mkoa unakuwa maskini lawama zote kwa wahaya...wanaopatikana wilaya tatu za mkoa huo
As if ndo wanapaswa wajenge barabara, wajenge miundombinu, wakusanye kodi nk

Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa akili na huu ndo mkubwa sana hapa nchini....


Anyway kila mtu apambane na hali yake kutukana, kukejeli wahaya hakukusaidii kupata mali na kuwa tajiri....
 
Kila ripoti inayotoka kuhusu umasikini kagera hawachomoki,mi sielewi wachumi hutumia vigezo gani?kuhusu Kigoma na Tabora hilo halishangazi tena nadhani ni masikini duniani
Ni Kweli kbs Kagera vijijn Kuna umaskini mkali
Hasa makazi makazi ndio hu define umaskini WA MTU,ingawaje baadhi vijijin kwao Kuna makazi safi
 
Back
Top Bottom