Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

Kwahiyo chadema wasikusanyike ila ccm ni ruksa kukusanyika?
Mkuu,kama una akili uelewe basi.

Nchi inakumbwa na Corona.

Watu wanataka kukusanyika, halafu unakuja na hoja eti mbona CCM wanakusanyika.

Wakati wa Magufuli anasema Corona haipo Tanzania si hao hao CHADEMA walisema nchi iwekwe'lockdown'??

Au CORONA hii ya sasa haina madhara?
 
CCM na serikali wanawatumia POLICE POLICE wa Tanzania kutesa RAIA wema wa Taifa hili.Ukatili wao ni zaidi ya POLICE wa Makaburu au wakoloni wenyewe.Uhuru wa Tanzania ulikuwa ni kuondoka kwa Wazungu/Waingereza na kutawaliwa na wakoloni weusi wenzetu.Haki ipo wapi?
Tuanataka Katiba ya Wananchi kuiponya nchi yetu.Hakuna cha kusubiri,kutetea Haki haijawahi kuwa jinai.
 
Corona hairuhusu misongamano bwashee!
Inaruhusu Jogging hadi ya wazee?Tulichokiona Jana Dodoma kinatosha.UVIKO-19 ni ugonjwa wa mlipuko na hauletwi na wana CDM.
Hamsomeki mnasimamia lipi has a,Gwajima anapingana na sayansi live pamoja Rais wetu lakini anaonywa na wasiohusika na hakuna hatua zaidi.
Kama vipi futeni hiyo kesi ama mtegemee umati.Msivyo na akili mtawakataza/mtawatawanya but message delivered.
 
Mbowe sio aina za hao wanasiasa uchwara na malayamalaya!
 

Siasa za bongo utasikia wamesogeza mbele kesi. Nilishasema serikali wamefanya makosa makubwa kumshitaki Mbowe
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…