Ila Kanji anajua sana mechi. Alijuaje Manure leo anapakatwa?
1715028600476.png
 
Matokeo ya Lille na Lyon umeyaona? Kuna watu watu wameenda kulala na mikeka wakidhani mechi imeisha wakiamka kesho hawataamini. Kamari ni ngumu sana aisee.
Daaaah!!! Yaani nilikuwa nimeshapiga hesabu za kesho kula supu ya kuku wa kienyeji na chapati mbili nikishushia na pepsi baridiii daaah!! Kamari ni konyo
 
Jana nikawabetia Man u washinde lakini kwa bahati mbaya nikakosea nikaweka man u hawezi funga goli mbili mfululizo... aisee ikatoa
 
Nahitaji mtumiaji wa halotel nimpe ofa Gb 5 kwa buku 5 tano chap nichek tuendelee kutupia mikeka....
 
Back
Top Bottom