Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 3,277
- 7,918
Choka bwana. Au kausha ufe mwenyewe huko, mipasho hatuachi, hela yako ila lazma tukuonee huruma.Punguza makasiriko!
Nikipost code unaumia!?... Ama unauza odds!?
Nnae code ni mimi...anaumia mwingine!
Dah ..hii nchi ngumu aisee...
Ama hako kahela nakobetia kanakuuma?!
Elewa ukiliwa wewe ...sio wote wanaliwa!... Pambana na hali yako mkuu!..... Kumbe mipasho bado haijaisha humu!....
Haya sitapost tena mkuu ili usiendelee kuumia chief!