Mechi zilezile, stake ileile, kampuni ya betpawa ikatupa odds 200 ila kwa meridian imeleta odds mia saba!
View attachment 2815430
KUna siku nilikuwa nalinganisha odds za mkeka sawa kati ya betpawa na premier bet, kiufupi betpawa wanaiba kwa kutumia akili zile total odds. Odds ya mwisho kwa mechi zote ilikuwa ndogo sana kwa betpawa ukilinganisha na premier bet, licha ya kuwa betpawa wametoa tena 50% bonus na odds za kila mechi hazitofautiani sana.
Nikajua tayari AI ipo kazini, wanawaibia na kuwadanganya wachezaji.
 
Back
Top Bottom