Treni mzeeMbona wa tarehe saba mwezi wa kumi
D228D2D games(9) 🏀I''ll cook for you today🏀 9 games I see.... Leo siingii uwanjani... Niko majeruhi.
Mbona ni zaidi ya mechi 60 sasa?98A2274 BP MAOKOTO
NAOMBA EDIT ZENU WADAU.
NDIO EDIT UWEZAVYO APO, UPATE MECHI 60Mbona ni zaidi ya mechi 60 sasa?
#GetRichorDieTrying#For real...... Mechi za 🏀 za hela ziko kesho saa 19:00-22:15.......
Nilikua naangalia fixture hapa ... 🏀☄️
Kikapu nakidai pesa Ziingi mnoo!.... Kila siku ntarirudia hili ... Untill it's done!
One day!(if you have faith in yourself!) It'll be done someday!!!
KUna siku nilikuwa nalinganisha odds za mkeka sawa kati ya betpawa na premier bet, kiufupi betpawa wanaiba kwa kutumia akili zile total odds. Odds ya mwisho kwa mechi zote ilikuwa ndogo sana kwa betpawa ukilinganisha na premier bet, licha ya kuwa betpawa wametoa tena 50% bonus na odds za kila mechi hazitofautiani sana.Mechi zilezile, stake ileile, kampuni ya betpawa ikatupa odds 200 ila kwa meridian imeleta odds mia saba!
View attachment 2815430
Hongereni!!!! unajua walicheza option gani?Miliocheza NBA Jana usiku hongeleni
Noma sana, mikeka ipo ICUAisee hata haijafika dk 10 sweeden kapigwa 2 za moto