Usicashout ,niliifata hii Toka naija,
Usicashout ,niliifata hii Toka naija,
Hii game itakua na corner za kutosha
Jamaa fundi sanaa ngoja tusonge nalo mwanangu...!!Usicashout ,niliifata hii Toka naija,
nimetia tsh. 20 imeleta 1M+ ikawe heri kwetu!8BE563A betpawa
EDIT/CUT
Hao wote sijaenda nao kavu... Nimewavalia condom!.... Over 1.5...Atletico
Quarabang
Liverpool
AEK
RB pleizing.
Nasemaje hawaa leoo kuwa nao makini sanaaaa...!!!
Sasa wasafi nani anayo jamanOption × Corner
Compny × wasafi bet
Odds × 41
Team × 12
Code × 2CKI5J4
…
hufahamu nini kutoka kwenye hayo maelezo yangu?, hufahamu kupiga hela kupitia mwanya wa network ya bookie kuzingua?, au hufahamu jinsi ya kucheza rollover?.Hiyo kitu siifahamu, unaweza kunipa maarifa kidogo mkuu?
RB Leipzig siyo wa kumuamini sanaAtletico
Quarabang
Liverpool
AEK
RB pleizing.
Nasemaje hawaa leoo kuwa nao makini sanaaaa...!!!
Hao wote sijaenda nao kavu... Nimewavalia condom!.... Over 1.5...
Ila huyo Demu anaeongoza kwa kunyima watu (Utamu) Umilionea Rb Leipzig...
Sijamwigiza geto!... Nimemuacha nje wanapiga story na shoga yake...mwenzake ATL.
Dah sa hapo unatofauti gani na kina mwamposa?!Leo nakuwa mtabiri
-Mechi moja ya mkubwa atapigwa
- mechi nyingi sanaa zitatoa over 2.5
- mechi moja ya mkubwa itatoa 0-0
Mpira hauko hivyo,,,,, japo pesa unaweka kwa mwenye ubora ila lolote laweza tokeaChelsea ni dhaifu kwa man city
In a row maana yake mfululizo. Yaani timu ipate goli tatu na mpinzani asifunge hapo katikatiView attachment 2811476
Mwenye uelewa na hii option
Isitokee timu ikapata magoli matatu mfululizo bila mwenzake kupata goli,,,, mfano hapo Everton angepata goli zote tatu bila palace kupata goli,, alafu palace angepata hizo mbili basi ungechanika,,,,,View attachment 2811476
Mwenye uelewa na hii option
Humu bhana kuna mengi,,,, yaliyomo yamo,,,, watu wanavuta wateja na mapromo kibaoSasa wasafi nani anayo jaman