Wakuu kesho napiga nyeto kama kiapo cha kuwaacha na ndoto ya utajiri kwa buku
_20230429_005452.JPG
 
Wale walioipa Simba direct win vp....nlitoa tahadhar mana kubeti na ushabiki ni mambo mawli tofauti....upgwe Kwa ushabiki au umpge mhndi kwa..... uhalisia.......ila Bado nguvu moya💪💪
 
Ila leo nimeamini kubet kazi kweli unaeza pata hata ugonjwa wa presha timu umeiamini Unaiomba over 3.5 au over 2.5 inachokifanya sasa
All in all kesho tunaendelea tulipoishia. Lengo kuu ni kumrudisha kwao kanjibai na hasara za kutosha
ENDELEA kuota kumpa Kanji hasara. Siku akikufilisi ndio utaamka. "Many will deposit, and very few will withdraw"
 
Wakamalia mmeamkaje, hope mpo vizuri kwa mapambano .

Safari yetu tuliyoianza juzi bado inaendelea tuendelee kumuomba mungu Kama tukivuka vizuri Leo kipande Cha mlimba mpaka makambako ambapo kuna mapango mengi basi kesho tunafika mbeya.

Tumuombee mwendesha chombo asiwe na wenge atufikishe. Dua zenu Ni muhimu ili tukifika salama tukajipogeze mbeya pazuri, carnival au chimbo lolote lile la ukweli.

Pamoja wakamalia
 
Mkifika salama Mkajipongeze Mwailubi au City Pub
 
Back
Top Bottom