Screenshot_20230415-193757_2.jpg
 
Wakamalia Sasa Safari inaendelea hk kipande Cha reli tunachoanza nacho kidogo kina kuwa na usumbufu flani na ukizingatia kagiza kinaingia basi tumuembee anaetuongoza tufike mwanza salama,

Kwakuwa tutalala mwanza ili kesho Safari yetu iendelee basi maombi ni muhimu sn naamini tutafika mwanza tutalala na tutaamka salama na kuendelea na Safari

Amina kaka naona safarini mvua nyingi na radi🥲 ila inshaallah tutatoboa rocky city
 
Vijana wa Lampard wamenipa kazi ya namna ya kumuingia shemeji yenu kwamba safari ya Birthday Zanzibar haipo tena

Won za kipindi cha Pasaka zimenipumbaza nikatoka nje ya utaratibu wangu wa kukwepa direct win kwa gharama yoyote ile.......,

Nakwenda mapumziko hadi mwezi ujao

Maisha ni kupanda na kushuka
 
Back
Top Bottom