bab jesuss
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 375
- 688
Napoli napiga pass tu kufunga ataki daahMnaoangalia game ya napoli
Vipi huko kuna uhakika wa goli
Vipi Kona 9 zitafika?Napoli napiga pass tu kufunga ataki daah
Mnaoangalia game ya napoli
Vipi huko kuna uhakika wa goli
Hajapiga hata on target hata mojaNapoli napiga pass tu kufunga ataki daah
Hata kwangu piah mwanzo nilidhani labda mtandao wangu unashida kumbe app ndo tatizo tumia browser tuuWakuu nyie mnatumia app gani ya jf hii yangu hai preview piuctures
DahHata kwangu piah mwanzo nilidhani labda mtandao wangu unashida kumbe app ndo tatizo tumia browser tuu
Umepotea mnoHeshima Yako Mkuu!
Pole sanaBayern mbwa weweView attachment 2588919
Ila watu...Duh umejuaje mzee
Mchongo ni kubeti option ipi mkuu
Wakamalia Sasa Safari inaendelea hk kipande Cha reli tunachoanza nacho kidogo kina kuwa na usumbufu flani na ukizingatia kagiza kinaingia basi tumuembee anaetuongoza tufike mwanza salama,
Kwakuwa tutalala mwanza ili kesho Safari yetu iendelee basi maombi ni muhimu sn naamini tutafika mwanza tutalala na tutaamka salama na kuendelea na Safari
Vijana wa Lampard wamenipa kazi ya namna ya kumuingia shemeji yenu kwamba safari ya Birthday Zanzibar haipo tena
Won za kipindi cha Pasaka zimenipumbaza nikatoka nje ya utaratibu wangu wa kukwepa direct win kwa gharama yoyote ile.......,
Nakwenda mapumziko hadi mwezi ujao
Nimecheka kisenge...ila daah tukifika mwanza salma nitanunua samakiAmina kaka naona safarini mvua nyingi na radi🥲 ila inshaallah tutatoboa rocky city
shusha codes tupite nazo saivi ni usiku majini ya kanji hayaoni
Umetumwa?Jaman kama una hela weka mzigo mechi ya lugano haft time inatoka 2-2