Wakuu hivi hizi Odds za Taifa staz vipi? View attachment 1197510
Burundi double chance
Wakuu hivi hizi Odds za Taifa staz vipi? View attachment 1197510
Fursa ...
Sapporo to win rest of the match - odds 2.10 (InPlay)
Fursa ...
Sapporo to win rest of the match - odds 2.10 (InPlay)
Mankampuni ya betting yanalipa kodi kwenye faida yao waliongiza inamaana mikeka yote waliokula inajumlishwa inakatwa kodi ya asilimia 25Kwanz me naona serikali wanafanya dhulma sana Upande wa betting sema tu hakuna wanaolalamika.
Hivi inakuwaje mfn me na loose mkeka ina mana bookmarker ye analipa kodi kwa kila mikeka ambayo nimelost, jibu hapo obvious ni hapana.... Sasa iweje mimi kila nikiwin nikatwe tena kodi hapo?
Hii haiko sawa kabisa ndio maana hata haya makampuni mengine huamua tu kutulipia hizi kodi kwa kutuonea huruma ....
Mankampuni ya betting yanalipa kodi kwenye faida yao waliongiza inamaana mikeka yote waliokula inajumlishwa inakatwa kodi ya asilimia 25 View attachment 1197708
TANZANIANgoja tubane magoli ...
Under 2.5 (Football - World Cup Qualification, Africa)
----------
Burundi/Tanzania
Ethiopia/Lesotho
Liberia/Sierra Leone
To Win A Set (Tennis - US Open)
------------
Belinda Bencic
Matteo Berrettini
--------------
Total Odds 5.05