Aiseee...!
Screenshot_20190823-152117~2.jpeg
 
Nataka kutake risk wadau kwenye jackpot ya sport pesa over 800,000,000 . Naitaji.mawazo yenu wadau kwani humu kuna watalamu na wabobezi katika hii fani. Kiasi nilichokiandaa ni 800,000 hii pesa niko willing kuipoteza .

Nacho hitaji kufanya kila wiki nataka nitumie 100,000 nitengeneze mikeka 50 mfululizo kwa wiki 8 nione kama naweza angukia bahati yangu. Najua mikeka 50 nimichache kupata matokeo halisi ndio maan a nimekuja kuomba ushauri katika uchambuzi wa timu kwani nikichambua mwenyewe nitakuwa buyers .

Najua kuna alternative nyingi za kumpiga muhindi ila betting/gambling ni ileile mwenye mawazo na ushauri naombeni tafadhaliView attachment 1181023
Za asubuhi ndugu zanguni.
Jioni ntawaletea uchambuzi wa jackpot sportpesa ya tz bure kabisa.
Atakaeshinda ndo bingwa
Parttime nasomea leseni ya ukocha,najfunza kuangalia match kwa jicho la 3 kabla haijaanza
Nb.itawafaa zaidi wanaoweka double chance,sitawaangusha wale wa option zngne,ila team ztakua 13 tu.
Stay tuned,,
 
Za asubuhi ndugu zanguni.
Jioni ntawaletea uchambuzi wa jackpot sportpesa ya tz bure kabisa.
Atakaeshinda ndo bingwa
Parttime nasomea leseni ya ukocha,najfunza kuangalia match kwa jicho la 3 kabla haijaanza
Nb.itawafaa zaidi wanaoweka double chance,sitawaangusha wale wa option zngne,ila team ztakua 13 tu.
Stay tuned,,
Kabla sijaingia kichwa kichwa kucheza jackport nilichukua kalam na daftari nikapiga mahesabu possibility ya kuwin nikakuta ni ndogo sana. Yaana mpaka ukaribie jibu ni lazima uweke mikeka isiyopungua 200,000 tofauti tofauti isifanane ndio uweze kukaribia jibu.
Sasa piga 200,000x2000 ya stake utajikuta umefuma mikeka ya kiasi kisichopungua 400,000,000 ndio uweze kupata mmoja au usipate kabisa.
Hata ukiwa na 1000000 hiyo utafuma mikeka 500 ambayo bado utakuwa unacheza.
Unaweza kaa ukafuma mikeka laki moja ya jackport na bado ukatoka kapa.
Bora tuendelee kubet kwa odds magoli ,double chance kuna angalau kidogo japo betting/gambling ni ilele.
 
Wakuu naomba mnieleweshe hpo kuhusiana na hom goal over/under na away goal over/under inamaana gan, sorry mgen ktk gem,
IMG_20190823_163501_697.jpeg
 
Back
Top Bottom