Nipo humu ndani tangu 2017 na ndio nilipoijulia 1xbet kupitia hawa jamaa WIMICKY na Void ab initio walikuwa wanawasha moto sana......nikiri kuwa nilikuwa najua betting ila kupitia jukwaa hili nikaaanza kuwa mtamu kwa kujua ligi mbali mbali.Pia mchezo wa basketbal niliujualia hapo na kuanza kuufatilia maana kwa kipind hiko mkamalia WIMICKY Alitisha sana kwenye soko la handcap enzi hizo 1xbet unaweka na kutoa kupitia Mpesa,Tigopesa bila mbambamba.Nilizijua ligi kibao sana kama sio zote dunian na majeshi yake.

1.Brasil utakuta kuna majeshi kama flamengo,Palmeiras na atletico mineiro ligi hii bhna haina mnyonge kila mtu mbabe na huku mtu ukichukua ubingwa kwa points 90 we mwanaume haswa...masoko ya ligi hizi ni kuzia magoli na over kwenye kadi za njano....pia team zikiwa nyumbani zinapambana sana huku mechi zinapigwa usiku mkali kama mechi za NBA basketbal ball nadhani hii ni kutokana na tofauti ya masaa

2.Japan unakutana na majeshi kama Tokyo,kawasaki frontale,vissel kobe,kashima hunters huku hawa jamaa option za kucheza ni kuzuia magoli na kadi za njano hawa mechi zao zinachezwa asubui saa mbili mechi imechelewa sana saa saba mchana

3.Korea kusini huku utakutana na majeshi mawili ulsan hyundai na Joenbuk ila joenbuk kawa mdebwedo sana siku hizi....Hili jeshi Ulsan Hyundai ukiliona lipo home ni uhakikaaaa

4.USA ligi yao inaitwa majoor ligi hii ligi bwana inaanzaga mwenzi wa 3 mpka wa 12 huku kuna team 30 aisee hii ligi kuna magoli kama CCM na machawa....huku in over 0.5 first half inatoa sana.Huku hakuna jeshi la uhakika team zinabadilika kila mwaka ....pia wana utaratibu wa kucheza player of kwa wanaoshika nafasi ya kwanza mpka ya 8 so usishangae mtu wa nane akachukua ubingwa na aliyeongoza regulasies season akatolewa mapema kwenye playoff

5.Argentina huku Jeshi langu sana sana ni River plate na mwenzie Boca Junior....ingawaje kuna muda akawa mseng.e mseng.e

6.Serbia huku kuna Majeshi kama crvena zveda na mwenzio Partizan huyu crvena zveda kashindikana....kumaliza ligi msimu mzima ajafungwa ni swala la kawaida na mara nyingi odds zake za win ni vidagaa vya 1.09 au 1.2.

7.BASKETBALL NBA Marikana huu mchezo ndio ukituliza kichwa ni kupiga pesa kila siku maana hii ligi wakianza ni kila siku wanakiwasha kila sku kunakuwa na game za kutosha yahn kuna game zaina ya 1880 na ushee...Majeshi ya huku zaman yalikuwa GSW, Raptors,na Bucks ila siku hzi naona hakuna mnyonge kila mtu mbabe siku hzi naona Boston Celtic ndio hataki masihara.option ni kama assist,three points,rebound,block steel,turnovers na total over pia unaweza ukawabetia hadi wachezaji.

Majeshi ni mengi mengina kama

Ajax holand
Al hilal saudia
Al Nasri saudiq
Al sadd quatar
BG Pathium united Viëtnam
FC basel
Benfica
Boliver hili liko Amerika nchin bolivia
CfR cluji
CSKA sofia
Zenit
Slovan bratislava
Yokohama merino's
Victoria plzen
Storting CP
Sparta praha
Slavin praha
Sherif
Shamrock rovers
Shaktar soligorisk
Shakta donetsk
Riga
RB sulzburg
Celtic
Rangers
Racing Club
Qarabag
PSV
PAOK
OLPMYIAKOS
omonia nikosia
Molde
Mamelodi
Ludogoret rizgad
Macabi haifa
Libertad
Legio warszawa jeshi la poland hili
LASK
KF balkan
Hanoi TT
HJK
Zagreb
Dudelange
Copenhagen
Midjtland

Aisee list ni ndefu sana but la muhimu ni kuwa nilikuwa mdadisi sana na imenipa matokeo....wakamalia wa kipind kile walikuwa wako poa sana sio wachawi kama hawa wajinga waliovamia huu uzi siku hzi...

Humu watu hawapendi kuona win tiket kisa wao wanpigwa ...hawataki kujifunza kuna guru Mayu Alijitoa sana naona nae kaamua kulaza mshale.

BETTING ni mind game na mahesabu makali sana sio bahati ila tumewekwa kwenye giza la kujua hii ni bahati

Odds zipo kimitego sana...

nitoke huko wakamaria ligi zimeisha lakin ligi zingine zinaendelea kama kawaida next season ambayo wengi wataisubr jitahidi uwe na nidhamu uwe mvumilivu usiende kwa kukariri na uache roho mbaya ya kukasirika ukiona won toket za wenzio hahaha utakufa mdomo wazi kuku wewe.

Note ...nachezea sana vipigo nimeweka mikeka hiyo ili ujifunze kuwa usiogope odds kubwa kwani odds kubwa zinatoa San na zinalipa vizuri bila maumivu ......maumivu ya kuchaniwa na odds 1.08 ni zaidi ya kuchapiwa demu ndio maana wakamalia wengi kwenye misiba hatulii
Screenshot_20240522_100206_1xBet.jpg
Screenshot_20240522_100219_1xBet.jpg
Screenshot_20240522_100246_1xBet.jpg
Screenshot_20240522_100259_1xBet.jpg
Screenshot_20240522_100313_1xBet.jpg
Screenshot_20240522_100324_1xBet.jpg
Screenshot_20240522_100334_1xBet.jpg
Screenshot_20240522_100400_1xBet.jpg
Screenshot_20240522_100413_1xBet.jpg
Screenshot_20240522_100505_1xBet.jpg
Screenshot_20240522_100520_1xBet.jpg
Screenshot_20240522_100536_1xBet.jpg
Screenshot_20240522_100641_1xBet.jpg
 
Nipo humu ndani tangu 2017 na ndio nilipoijulia 1xbet kupitia hawa jamaa WIMICKY na Void ab initio walikuwa wanawasha moto sana......nikiri kuwa nilikuwa najua betting ila kupitia jukwaa hili nikaaanza kuwa mtamu kwa kujua ligi mbali mbali.Pia mchezo wa basketbal niliujualia hapo na kuanza kuufatilia maana kwa kipind hiko mkamalia WIMICKY Alitisha sana kwenye soko la handcap enzi hizo 1xbet unaweka na kutoa kupitia Mpesa,Tigopesa bila mbambamba.Nilizijua ligi kibao sana kama sio zote dunian na majeshi yake.

1.Brasil utakuta kuna majeshi kama flamengo,Palmeiras na atletico mineiro ligi hii bhna haina mnyonge kila mtu mbabe na huku mtu ukichukua ubingwa kwa points 90 we mwanaume haswa...masoko ya ligi hizi ni kuzia magoli na over kwenye kadi za njano....pia team zikiwa nyumbani zinapambana sana huku mechi zinapigwa usiku mkali kama mechi za NBA basketbal ball nadhani hii ni kutokana na tofauti ya masaa

2.Japan unakutana na majeshi kama Tokyo,kawasaki frontale,vissel kobe,kashima hunters huku hawa jamaa option za kucheza ni kuzuia magoli na kadi za njano hawa mechi zao zinachezwa asubui saa mbili mechi imechelewa sana saa saba mchana

3.Korea kusini huku utakutana na majeshi mawili ulsan hyundai na Joenbuk ila joenbuk kawa mdebwedo sana siku hizi....Hili jeshi Ulsan Hyundai ukiliona lipo home ni uhakikaaaa

4.USA ligi yao inaitwa majoor ligi hii ligi bwana inaanzaga mwenzi wa 3 mpka wa 12 huku kuna team 30 aisee hii ligi kuna magoli kama CCM na machawa....huku in over 0.5 first half inatoa sana.Huku hakuna jeshi la uhakika team zinabadilika kila mwaka ....pia wana utaratibu wa kucheza player of kwa wanaoshika nafasi ya kwanza mpka ya 8 so usishangae mtu wa nane akachukua ubingwa na aliyeongoza regulasies season akatolewa mapema kwenye playoff

5.Argentina huku Jeshi langu sana sana ni River plate na mwenzie Boca Junior....ingawaje kuna muda akawa mseng.e mseng.e

6.Serbia huku kuna Majeshi kama crvena zveda na mwenzio Partizan huyu crvena zveda kashindikana....kumaliza ligi msimu mzima ajafungwa ni swala la kawaida na mara nyingi odds zake za win ni vidagaa vya 1.09 au 1.2.

7.BASKETBALL NBA Marikana huu mchezo ndio ukituliza kichwa ni kupiga pesa kila siku maana hii ligi wakianza ni kila siku wanakiwasha kila sku kunakuwa na game za kutosha yahn kuna game zaina ya 1880 na ushee...Majeshi ya huku zaman yalikuwa GSW, Raptors,na Bucks ila siku hzi naona hakuna mnyonge kila mtu mbabe siku hzi naona Boston Celtic ndio hataki masihara.option ni kama assist,three points,rebound,block steel,turnovers na total over pia unaweza ukawabetia hadi wachezaji.

Majeshi ni mengi mengina kama

Ajax holand
Al hilal saudia
Al Nasri saudiq
Al sadd quatar
BG Pathium united Viëtnam
FC basel
Benfica
Boliver hili liko Amerika nchin bolivia
CfR cluji
CSKA sofia
Zenit
Slovan bratislava
Yokohama merino's
Victoria plzen
Storting CP
Sparta praha
Slavin praha
Sherif
Shamrock rovers
Shaktar soligorisk
Shakta donetsk
Riga
RB sulzburg
Celtic
Rangers
Racing Club
Qarabag
PSV
PAOK
OLPMYIAKOS
omonia nikosia
Molde
Mamelodi
Ludogoret rizgad
Macabi haifa
Libertad
Legio warszawa jeshi la poland hili
LASK
KF balkan
Hanoi TT
HJK
Zagreb
Dudelange
Copenhagen
Midjtland

Aisee list ni ndefu sana but la muhimu ni kuwa nilikuwa mdadisi sana na imenipa matokeo....wakamalia wa kipind kile walikuwa wako poa sana sio wachawi kama hawa wajinga waliovamia huu uzi siku hzi...

Humu watu hawapendi kuona win tiket kisa wao wanpigwa ...hawataki kujifunza kuna guru Mayu Alijitoa sana naona nae kaamua kulaza mshale.

BETTING ni mind game na mahesabu makali sana sio bahati ila tumewekwa kwenye giza la kujua hii ni bahati

Odds zipo kimitego sana...

nitoke huko wakamaria ligi zimeisha lakin ligi zingine zinaendelea kama kawaida next season ambayo wengi wataisubr jitahidi uwe na nidhamu uwe mvumilivu usiende kwa kukariri na uache roho mbaya ya kukasirika ukiona won toket za wenzio hahaha utakufa mdomo wazi kuku wewe.

Note ...nachezea sana vipigo nimeweka mikeka hiyo ili ujifunze kuwa usiogope odds kubwa kwani odds kubwa zinatoa San na zinalipa vizuri bila maumivu ......maumivu ya kuchaniwa na odds 1.08 ni zaidi ya kuchapiwa demu ndio maana wakamalia wengi kwenye misiba hatulii
View attachment 2996553View attachment 2996554View attachment 2996555View attachment 2996556View attachment 2996557View attachment 2996558View attachment 2996559View attachment 2996560View attachment 2996561View attachment 2996562View attachment 2996563View attachment 2996564View attachment 2996565
Ndio nini hiki sasa gazeti lefu halafu pumba tupu
 
Back
Top Bottom