timu moja imechana asubuhi leo
 

Attachments

  • Screenshot_20231126_154655.jpg
    Screenshot_20231126_154655.jpg
    117.5 KB · Views: 6
Uhakika, kwenye ligi ndogo timu za uhakika zinazoweza kukupa win hata mechi 8 mfululizo ni PSV, Fernabahce, Galatasaray, Slavia na Sparta. Hao wengine mechi ya tatu au ya nne anachoma.
Ni kweli mkuu wala sikupingi kabisa ligi kubwa ujerumani wanatabirika sana....hasa GG
 
Back
Top Bottom