Sportybet au betpawa?Helabet
Odds 7
Code: 61P21
Timu mbili tu.
Sportybet au betpawa?Helabet
Odds 7
Code: 61P21
Timu mbili tu.
HelabetSportybet au betpawa?
Una asili ya watu wajivuni na maringo we mshamba.Acha hizo tabia za kidadaMimi ni zaidi ya mumeo
Zaman sanaHii imetoa?
USM Alger hawezi kushinda leoHivi hii game ya fainal ya Yanga kama unataka kucheza single ya kujitoa muhanga kama kuanzia 100k utaruka na option gani mdau?
Akili inanituma nicheze hizi lakini nikifikiria spirit ya Yanga roho inasita sita
View attachment 2644357
Ahsante sana bro,nimecash out mzigo,322C354 sportbet
Kwa aliyeomba odds 5+
In God We Trust
Sent from my Mi 9 SE using JamiiForums mobile app
kea hiyo kufuatia ilo tukio lako ndo ukaja na hiyo conclusion yako?Nihivi humu ndani hamna mcheza kamari ambae anaijua kuicheza kamari ila humu kuna waoga wengi sana ,hebu nikuambie kitu niliwahi kuwa msimamizi wa tipa za mchanga kijiji fulani mtwara wale vijana waliokipakia mchanga sasa ile siku ilikuwa fainal ya uefa kati ya Chelsea na man city na ile gemu chelsea alipewa odds kubwa sana chakushangaza wale vijana tulivyowapa malipo yao badala wagawane ilikuwa laki 4 na 60 wao wakakubaliana waitie yote wampe chelsea nakweli walifanya hivyo na wakamla muhindi bila shaka chelsea alipewa odds 3