bab jesuss
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 375
- 688
We are going
ChwaaaaMazembe
PSG
City
Dortmund
Win au droo? Fafanua mkuu. Kama ni win ungetoa Mazembe uweke Al Ahly na pia utoe dortmund uweke Chelsea na Madrid.Mazembe
PSG
City
Dortmund
Mkuu kama una hobby ya timu moja tu kukuchania, nenda Gal sports au play Master, angalau wanakurudishia chochote kwa timu moja kuchanaNdugu wazee leteni hiyo mikeka tukopi basi. Hivi vipigo vya Kanji mpaka lini lakini?
View attachment 2404785
Umeshinda shingapi mkuuSijawahi kubeti.Ndio nimejaribu mara ya kwanza na nimeshinda!
Sio kubwa sana 94,159 mkuu.Ila imenipa jeuri nitakuwa nabet jackport mpaka nishinde!Umeshinda shingapi mkuu
Tuma hyo code tushiriki ktka ushirikinaAma zangu ama zake leo napiga Ramli kwenye basketball.. milion 20+ on the bag kwa stake ya
20+ milion Tshs naziweka kwa akaunti ya benki leo
Auwawe kanji nasemaAma zangu ama zake leo napiga Ramli kwenye basketball.. milion 20+ on the bag kwa stake ya <500.
20+ milion Tshs naziweka kwa akaunti ya benki leo
Mkuu huyu adui yetu amekukaribisha na chereko chereko nyingi na vifijo😃😃 hongeraSio kubwa sana 94,159 mkuu.Ila imenipa jeuri nitakuwa nabet jackport mpaka nishinde!
Bora nihamie huko mkuu maana timu moja huwa inanichania mara nyingi sana.Mkuu kama una hobby ya timu moja tu kukuchania, nenda Gal sports au play Master, angalau wanakurudishia chochote kwa timu moja kuchana
Eeh mkuu tena kwa odds zako unapewa unit kwa Play master ubetie tena,Bora nihamie huko mkuu maana timu moja huwa inanichania mara nyingi sana.
Pamoja sana mkuuEeh mkuu tena kwa odds zako unapewa unit kwa Play master ubetie tena,
Hiyo inaitwa karibu mgeni,,, maana utaanza kuwa kina ambagile soon ,,, uchambuzi mingi na kuishia kuangukia pua,,, ila ukifuata hisia utaona hii ndo kaziSio kubwa sana 94,159 mkuu.Ila imenipa jeuri nitakuwa nabet jackport mpaka nishinde!