Tanzania ni timu ya Ajabu sana yaani kila mara wao huenda kinyume tu pale wanapotegemewa kufanya hawafanyi wakipuuziwa ndipo wanafanya dah!
Inashangaza sana halafu wanashinda mechi ambazo hazina umuhimu ,zile muhimu wanapoteza
 
Back
Top Bottom