Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,015
- 3,470
Tupe code ndugu, tupo pamojaHumu ndani kumechafuka mno kila mtu kwa Tips Master,
Sasa na mimi mtaniitaje?
Iko hivi kuanzia leo 14/11/2021
nitakuwa natoa mechi 2 zenye odds 2 na zaidi,
kila siku ndani ya siku 10,
halafu mwishowe nitatoa mchanganuo nimeWIN ngapi na ngapi nimeLOST......
Karibuni sana kwa ujio wangu wa tofauti.View attachment 2010004