20191002_070535.jpeg
20191002_070605.jpeg
 
Jana nilivibetia vitumu vile vya mapema nikala 183000, nikachukuwa 50000 nikasema ngoja nipige hela nikaweka mkeka nikampa real Madrid ashinde na toternham moja kwa moja aiiiiiiiiseee ile wamechana mkeka wangu wa mamiliion,,zile timu senge sana kila nikiiamini lazima zipigwe au isale
 
Leo naweka buku ten tuu
Slavia Prague vs Borussia dortmu -2
Genk-Napoli ---2
Liverpool. Vs Salzburg---1
Barcelona Vs inter--1

Nb Chelsea Leo atapigwa gori nyingi zaidi ya zile za majinga Yale Tottenham
 
Isee pole sana mkuu muhindi sio mtu mzuru kabisa ukimpiga anakushawishi uongeze dau then anachukua na faida yako
 
Siku ukiziamini
Jana nilivibetia vitumu vile vya mapema nikala 183000, nikachukuwa 50000 nikasema ngoja nipige hela nikaweka mkeka nikampa real Madrid ashinde na toternham moja kwa moja aiiiiiiiiseee ile wamechana mkeka wangu wa mamiliion,,zile timu senge sana kila nikiiamini lazima zipigwe au isale
siku ikitokea umeziamini utuambie si tuziue kwa handcap
 
Leo naweka buku ten tuu
Slavia Prague vs Borussia dortmu -2
Genk-Napoli ---2
Liverpool. Vs Salzburg---1
Barcelona Vs inter--1

Nb Chelsea Leo atapigwa gori nyingi zaidi ya zile za majinga Yale Tottenham
Nimewaka pesa yakutosha, ngoja nisubri feedback
 
Watoto wa UEFA jana wote wamepiga 3+ na leo pia wapo mchana, bora kucheza hawa kuliko kusubir baba zao ucku halaf wanazingua
Screenshot_20191002-104241_FlashScore.jpeg
 
Back
Top Bottom