Mika Mwamba ndie Producer pekee alietengeneza biti kali za nyimbo ziliyowahi kusumbua nchi zote za Afrika Mashariki kwa mpigo

Number 1 hapana, bado namba 1 anastahili p funk
usichojua ni kwamba P alikuwa anahusika zaidi kwenye mixing, kwenye kutengeneza biti kawatumia sana kina Soggy Dogy, Ludigo, Bizman, Mzungu kichaa, n.k. P kwenye biti sanasana ni kwenye kicks.

Kibanda cha simu, Soggy kapiga biti mwanzo mwisho
Mikasi ludigo kahusika zaidi
 
Ludigo yupo wapi?, Enrico? Yule jamaa wa sound crafters?, Rajabu Marijani nk.
 
Mtoto wa geti kali- Inspecta Haroun
Mkiwa- K Soul ft Ferooz
Julietha, Salome, Nyambizi - Dully Sykes
Twenzetu- Chege
Elimu Mtaani - D. Knob
Album yote ya kwanza ya Mandojo na Domokaya (kutoa Wimbo wa Nikupe pekee) etc

Huyu jamaa alikua hatari sana kushinda hata Master J na P Funk japo nao ni balaa
 
Hii Ngoma inanikumbusha Enzi hizo nikienda club navaa kaoshi alafu na shati naachia vifungo.

Jinzi ile ya Fila buga
Kiatu cheusi asee.

Kitambo kimtindo
Umenikumbusha mbali sana. Kulikuwa na Fila na dAdA, watu wanajiwekea plasta kama nelly na ribon kichwani na mkononi kama wacheza basket. Enzi hizo tunaenda disco tunajiona tuko mbele. Kweli wakati ukuta now nshakuwa mdingi fulani hivi naitwa baba na watoto.
 
Ilikuwa hatari kaka miaka ya nyuma ukienda disko unaonekana mhuni flan ivi.

Mwendo wa kinyamwezi
 
Ispector Haroon aligongewa ngoma ya mtoto wa geti kali na Mika Mwamba free kabisa. Na nadhani hii ndio ngoma iliyomtambulisha Yeye Mika na ispecta haroon.
Hii kwangu ndio gretest of all tym.
 
Miaka ta nyuma kdg nilisikiliza interview yake na millard ayo ndy nikamjua mwanzo nilikuwa najuaga ni PDG flani hv wa kicongoman
 
enzi hizo Afrika Mashariki ni Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU)

Hizi ni kazi alizoweza kufanya na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na zikawa super hits zilizoteka media za nchi zote za Afrika Mashariki.

1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down)

2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki), Mad Ice (Baby Gal)

3. Tanzania - HardMad (Tamala), Saida Karoli (Salome), Dudu baya (Mpenzi), Picco (Kikongwe), Balozi (kwenye chati)

kumbuka kwa hapa Tanzania alikuwa anafanya muziki kama side hustle / part time, hakuwa anafanya full Time, Muda mwingi alikuwa anarudi kwao Finland kuendelea na shughuli zake, si ajabu hakuweza kutengeneza muziki full time kama kina P na Master J sababu mshahara aliokuwa analipwa hapa bongo haukuweza kukidhi maisha yake ya Ulaya ambako hata zile kazi zenye vipato vidogo sana mtu analipwa si chini ya elf 20 kwa saa.
Nakubali mkuu
 
Ispector Haroon aligongewa ngoma ya mtoto wa geti kali na Mika Mwamba free kabisa. Na nadhani hii ndio ngoma iliyomtambulisha Yeye Mika na ispecta haroon.
Hii kwangu ndio gretest of all tym.
alikuwa na uwezo pekee ila watu hawamjui, akatafuta jina kwa kumrekodia bure inspekta, baada ya hapo wasanii wengi wakawa na imani nae
 
usichojua ni kwamba P alikuwa anahusika zaidi kwenye mixing, kwenye kutengeneza biti kawatumia sana kina Soggy Dogy, Ludigo, Bizman, Mzungu kichaa, n.k. P kwenye biti sanasana ni kwenye kicks.

Kibanda cha simu, Soggy kapiga biti mwanzo mwisho
Mikasi ludigo kahusika zaidi
Ni kweli Bongo Records ilikua "team" ya watu wengi walikua wanahusika hadi akina Allain Mapigo,Marco Chali,Q the don walishawahi kupita hapo ...ila kwa Miika Mwamba ilikua habari nyingine jamaa alikua jeshi la mtu mmoja ...Producer,Beat Maker,Mixing&Mastering Master,Sound Engineer
 
Back
Top Bottom