Miji ya Canada ni mizuri zaidi ya Marekani

Miji ya Canada ni mizuri zaidi ya Marekani

Udini wao umefichwa moyoni sio rahisi kuona

Kama unadhani haupo subiria siku muislam agombee uwaziri mkuu

Never haitikoea sababu ukristo ndio utamaduni

Ukiona muislam kashika nyadhifa fulani basi jua wamempa hio katika kuwavutia tu Wala sio kivile

Ni rahisi mtu mweusi kuwa waziri mkuu uingereza ila sio muislam kuwa waziri mkuu
Katiba yao imeainisha kabisa mkuu, ni lazima waziri mkuu awe m'anglikana na awe anahudhuria ibada takatifu. Hivyo hivyo kwa mfalme/malikia na crown prince nao humo humo amri moja.
 
Waarabu wamekukosa nini au chuki tu binafsi kwa kujazwa ujinga?

Tatizo lako ni Waarabu au Uislam? Kuwa mkweli.
Booty-licking as usual

tapatalk_1571907951843.jpeg
 
Kumbe unabwabwaja na haufahamu kitu. Eti "Waarabu koko".

Nipo Calgary ambayo ipo hilo jimbo la "Alberta" ulilolitaja. Na Waarabu wengi sana hapa tunaisho nao na wapo kila sehemu na kila fani. Si kama usemavyo eti wapo Toronto tu.

Hayo ya Kariakoo eti "hukuti Waarabu"
Utachekwa.

Jinsi unavyoandika tu, unaonesha wazi wewe siasa za Canada zisome tu kwenye mtandao. Huzielewi hata kiduchu. Hata huelewi kuwa kuna mpaka wanasiasa wa Kiarabu Canada tena wanasikika.

Eti unaniulizq Waarabu wangapi Canada? For your information Canada ina Waarabu kuliko unavyoidhania. Tatizo wewe hata Waarabu hujuwi ni kina nani.

Wewe uwe umezaliwa 70s halafu ukajipe jina ya hicho kitoto cha juzi cha kucheza sumo, heri hata ungejiita Taiho ningejuwa kweli wa zamani.

Usicheze na fahamu za watu kijana.
Booty-licking as usual
tapatalk_1571907951843.jpeg
 
Haya nayazungumza kwa niaba mzee wangekuwa wanakifahamu kiswahili ningeutambulisha huu mtandao kwao ushuhudie.
Culture ya Canadians inaharibiwa unajua matokeo yake ni nini na Walmart ziko na guns?

Naishi Hawaii hii sio Canada huku muislamu unamtafuta kwa tochi wapo wachache sana ila huwezi kuwatambua.
Tumalize hivi mimi mwarabu simpendiii na nilishasema nina marafiki wa kutoka Jordan na Lebanon hawa nachelea kuwaita waarabu.

Wengi wana degrees za Asia huku hazitambuliki wana maisha ya kawaida sana ila they're struggling wapate maisha bora hao wapuuzi wengine wengine wamekalia dini ila wanajua wanachokipata.

Nawapenda wahindi wako so friendly hawana mambo ya ajabu ajabu kama waarabu
Ndugu yangu mbona unaji kanyaga mara huwapendi waarabu mara una marafiki kutoja kwenye nchi za waarabu sasa hapo tuelewe nini?
Kwa hiyo kumbe unawachukia waarabu kwa sababu ni watu wanaofuata dini yao?na ndio maana nime kwambia wewe una kila sifa ya kuitwa gaidi, kwa sababu kama unawachukia watu wa dini fulani si ajabu kesho tukasikia umeingia msikitini na kuuwa watu wakiwa wana sali kwa sababu wewe unachukia kuona watu wanafuata mafundisho ya dini yao.
Suala la sehemu unapo ishi kutokuwa na waislam linakufaidisha nini kwenye maisha yako ya kila siku?ukienda moshi kuna waislam wa kuhesabu lakini wakati huo tz ina mamilioni ya waislam,ukienda tanga wakristo ni wakuhesabu lakini tz kuna mamilioni wa wakirsito.
Wewe unapo sema utamaduni wa kanada unaharibiwa na wakimbizi ,je wewe una uchungu wa kuharibika wa utamaduni wa kanada kuliko waziri mkuu wa kanada?.
Na kumbuka huko kwenye post zilizo pita nili kuuliza swali lakini mpaka sasa hujanijibu lilikuwa linasema hivi,kama kweli wakanada wana chuki dhidi ya wakimbizi kama unavyo taka kutuamisha mbona walimchagua tena kiongozi anaye wakaribisha wakimbizi?
Suala la kusema una watu unao wajua wana chuki dhidi ya waislam ,hata hapa tz hakuna watu wanaochukiwa kama wahindi lakini huwezi kuwafanya chochote na wanaendelea na maisha yao kwa hiyo hata nyiye na wenzako mtaebdelea kuwa chukia waisilam lakini hamuna chochote mtakacho kifanya maana hna uwezo huo.
 
Jibu hoja usikimbie.
Sasa wewe unahoja au mipasho?...nimesoma majibu yako hayana chochote zaidi ya mipasho isiyo na maana, kujifanya unajua kitu ambacho hukijui.
Yeye ameelezea kitu halisia alichokiona akiwa huko kutokana na sehemu alizotembelea usitegemee mawazo ya mtu anaishi Chicago akafanana mawazo na mtu wa Pennsylvania au tuseme Alaska.
 
Kama ukipata bahati ya kutembelea miji ya Canada kama Vancouver, Calgary, Toronto, Ottawa na Montreal ni mizuri sana na haina ghetto.

Ila miji ya Marekani kama Chicago, New York city, Los Angeles, ni mizuri lakini ina tatizo la ghetto, tofauti na miji ya Canada. Ni Seattle ndiyo haina tatizo la ghetto tofauti na mingine ya U.S.

Kinachoibeba Marekani ni kwamba kuna opportunities nyingi sana za kimaisha kuliko Canada.
Mkuu uko huko au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom