Hawaonyeshi juhudi za kujifunza?
Kuna mchina huwa namuona ana trend sana mitandaoni anajiita Juma kama sijakosea hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa.
Wachina na Wazungu waishio Tanzania wanajichanganya sana.
Wanajifunza.
Watanzania wengi wanaoishi China hawana permanent residence wameenda kutafuta riziki basi.
Hawa waarabu wanakimbia kwao vita wanakuja kusaka asylum huku na wengine wanakuwa raia kabisa.
Sasa wanakuwa maraia na hawawi integrated na culture ya Canadians.
Shule nyingi za Canada ni za Kikatoliki na secular, watoto wakike wako too fast kubeba culture za Kikanada wanachokumbana nacho kwa wazazi wao wanakifahamu.
Wengi, je wanadharau tamaduni za kiarabu? Hawavai kwa staha? Wanakula nguruwe? Wana shiriki mambo mbalimbali na wanaume?
uislamu sina chuki nao, kuna waislamu wa Kazakhstan ambao ni wengi zaidi kuliko dini ingine mbona taifa lao lina amani na utulivu wala halina ubaguzi wa kiimani.
Ukienda Kazakhstan, Jordan, au Turkey utashangaa sana womens are wearing sexy clothes, don't wear abaya's, wana swim na wanaume tena sio ndugu zao wala waume wao
Hawa hata wakija Canada wala hawapati tabu na dini yao inabaki palepale.
Unanitisha?
Mimi siigopi kesho yangu kila jambo linalomtokea mwanadamu limepangwa limtokee hivyo.
Hivi vitisho ndio huwa vinafanya watu wengi hivi sasa kuwa atheist na kuona dini ni upuuzi tu.
Mimi muarabu simpendi na sitokaa nimpende anatesa sana watu weusi akiwa kwake.
Narudia tena ni kheri ukaishi na mmexico kwake kuliko muarabu kwake aloo! Wanadharau sana watu weusi
Haaaaaaa umejaribu kijificha kinafiki ,lakini siku zote chuki huwa haijifichi mwishowe umejitamkia wewe mwenye we ya kwamba unawachukia waarabu, sasa kama unawachukia uwezi kuwatakia mema hata kidogo, ndio maana nilikwambia ya kwamba wewe unajisikia vibaya kukaribishwa kwa waarabu wakati na wewe umekaribishwa kama wao.
Umesema huna chuki na waisilam lakini wakati huo unajisikia vibaya ukimuona mwanamke wa kiislam amevaa hijabu unataka watembee vichwa wazi na kuvaa vimini kitu ambacho ni kinyume na maadili ya dini yao.
Kumbe kukuambia uache chuki ni kukutisha?
kumbe kuhimiza kuwapenda binadam wenzako bila kujali ni wa aina gani ni kukutisha?hakika hii ina shangaza sana na kusitajabisha.
Umesema huiogopi kesho yako ,ni kweli huiogopi kwa sababu huijui na hauna imani na uwelewa wako ni mdogo, na kama wewe ni mkirsito basi ni jina tu ,kwa sababu kwa mtu mwenye imani na anaye muamini mungu hawezi kusema eti haiogopi kesho yake.
Siku zote kinacho tofautisha shetani na malaika ni matendo,ili ujitofautishe na shetani ni kupinga yanayofanywa na shetani na kufanya yanayo fanywa na malaika, na si kupinga matendo ya shetani wakati huo na wewe unaya fanya.
Ninacho maanisha wewe unasema uwapendi waarabu kwa sababu ni watu wa chuki, lakini wakati huo wewe unaonesha chuki dhidi yao ,sasa hapo unatofauti gani na hao waarabu?
Mwisho wewe endelea tu kuwachukia waarabu lakini jua chuki yako ni bure ,kwa sababu haiwaathiri kivyovyote badala yake utajipa maradhi ya bure.
Kingine ya kanada na marekani waachie wenyewe na haya kuhusu.
Wao kuja kuwaruhusu waarabu kuingia ndani ya nchi zao na kuwaruhusu kusambaza tamaduni zao ,wamesha fanya utafiti na kujua hasara na faida yake na kinacho onekana wana faida na hilo na ndio maana wanaendelea kuwakaribisha.
Kwa hiyo kama unachukia waarabu na waislam kukaribishwa kwenye nchi za magharibi basi rudi kwenye bara lako la giza tupambane na hali zetu.
Sio kukaribishwa kwenye nchi za watu na kuanza kuwapangia jinsi ya kuongoza mataifa yao.