Miji ya Canada ni mizuri zaidi ya Marekani

Sir naona umeandika uzi wako kinazi zaidi.
U.S.A ni sehemu ambako Canadians wanatamani sana kuishi kwa sababu ya greenest places pamoja na jua baadhi ya maeneo kama California.

Canada jua ni la kuotea, uzuri wa miji uliyoitaja ya Canada haiwezi kuifikia uliyoitaja ya U.S.A. in terms of infrastructures.

Uzuri wa Canada
Uzuri wa Canada ni uwepo wa gun violence chache, Afya bure, uvumilivu wa kiimani na elimu za degree's bei chee!

Ubaya wa Canada
1. Kodi ni kubwa hujawahi ona.
2. Baridi kali sana
3. Uwepo wa wakimbizi wengi.

4. Uwepo wa ubaguzi baina ya wenye nchi yao pamoja na wahamiaji.
Kwenye hili wanaopata sana tabu ni waarabu.
U.S.A baby
U.S.A Gun violence za kutosha huwezi kutembea hovyohovyo baadhi ya maeneo nyakati za usiku hasa maeneo yenye ghettos kama ulivyosema.
Bei ya kusoma degree's ni ghali sana, na udini wakutosha.
Mwishoni nimesema marekani kuna opportunities za kimaisha zaidi ya canada
 
FaizaFoxy njoo huku bibie tunazungumzia nchi yako njoo utupe nondo za makazi yako calgary na Alberta
 
Sir naona umeandika uzi wako kinazi zaidi.
U.S.A ni sehemu ambako Canadians wanatamani sana kuishi kwa sababu ya greenest places pamoja na jua baadhi ya maeneo kama California.

Canada jua ni la kuotea, uzuri wa miji uliyoitaja ya Canada haiwezi kuifikia uliyoitaja ya U.S.A. in terms of infrastructures.

Uzuri wa Canada
Uzuri wa Canada ni uwepo wa gun violence chache, Afya bure, uvumilivu wa kiimani na elimu za degree's bei chee!

Ubaya wa Canada
1. Kodi ni kubwa hujawahi ona.
2. Baridi kali sana
3. Uwepo wa wakimbizi wengi.

4. Uwepo wa ubaguzi baina ya wenye nchi yao pamoja na wahamiaji.
Kwenye hili wanaopata sana tabu ni waarabu.
U.S.A baby
U.S.A Gun violence za kutosha huwezi kutembea hovyohovyo baadhi ya maeneo nyakati za usiku hasa maeneo yenye ghettos kama ulivyosema.
Bei ya kusoma degree's ni ghali sana, na udini wakutosha.
Udini U.S.A ukoje kiongozi, nani anambagua nani, nani muathirika zaidi
 
Ila hawana battle zaki'MK254 au Gezaulole
Wana battles zao ila sio shithole, uzuri pia wote wanaruhusu uraia pacha, hivyo unakuta raia wa pande zote mbili hawana sababu za kuchukia upande wa pili maana ni binamu na ndugu.
Sisi hapa unakuta Mmaasai alichorewa mpaka na kutenganishwa na ndugu zake na kuambiwa aishi mkao wa kuchukia Mmaasai ndugu yake ambaye yuko upande wa pili wa mpaka.
 
Wamasai wa Tz na ke hawachukiani, tena wanasaidiana sana kwenye mambo ya kijamii kama malisho, ndoa na hata yale mambo yao ya kuweka mkuki nje ya boma.
 
America huwezi kuwa Rais bila kuwa na dini na tena iwe Ukristo.
Americans hawawapendi kweli kweli Waislamu ambao ni minority haijalishi anatoka wapi ila Canada haina shida ndio maana wengi wanakimbilia.

Omar wa Democratic hawezi kurejea tena bungeni na waliomchagua wanajuta sasa, kauli anazotoa na anayoyafanya ni kama yanapigia mstari au kuhalalisha chuki za Americans dhidi ya Waislamu

Kama kawaida unawafahamu wasomali sio socialites waga ni wao kwa wao tu popote duniani hata kuoana ni wao kwa wao sasa ndiyo anayoyafanya yanachafua mpaka image ya dini yake.
America udini upo mbele sana kuliko Canada
Unataka kunambia Wapemba wanasubiri kwa msomali mkuu[emoji15][emoji3526]
 
Sir naona umeandika uzi wako kinazi zaidi.
U.S.A ni sehemu ambako Canadians wanatamani sana kuishi kwa sababu ya greenest places pamoja na jua baadhi ya maeneo kama California.

Canada jua ni la kuotea, uzuri wa miji uliyoitaja ya Canada haiwezi kuifikia uliyoitaja ya U.S.A. in terms of infrastructures.

Uzuri wa Canada
Uzuri wa Canada ni uwepo wa gun violence chache, Afya bure, uvumilivu wa kiimani na elimu za degree's bei chee!

Ubaya wa Canada
1. Kodi ni kubwa hujawahi ona.
2. Baridi kali sana
3. Uwepo wa wakimbizi wengi.

4. Uwepo wa ubaguzi baina ya wenye nchi yao pamoja na wahamiaji.
Kwenye hili wanaopata sana tabu ni waarabu.
U.S.A baby
U.S.A Gun violence za kutosha huwezi kutembea hovyohovyo baadhi ya maeneo nyakati za usiku hasa maeneo yenye ghettos kama ulivyosema.
Bei ya kusoma degree's ni ghali sana, na udini wakutosha.
total wrong!!! wa Canada wanaenda us only kwa sabab ya maisha us pesa ipo
 
America huwezi kuwa Rais bila kuwa na dini na tena iwe Ukristo.
Americans hawawapendi kweli kweli Waislamu ambao ni minority haijalishi anatoka wapi ila Canada haina shida ndio maana wengi wanakimbilia.

Omar wa Democratic hawezi kurejea tena bungeni na waliomchagua wanajuta sasa, kauli anazotoa na anayoyafanya ni kama yanapigia mstari au kuhalalisha chuki za Americans dhidi ya Waislamu

Kama kawaida unawafahamu wasomali sio socialites waga ni wao kwa wao tu popote duniani hata kuoana ni wao kwa wao sasa ndiyo anayoyafanya yanachafua mpaka image ya dini yake.
America udini upo mbele sana kuliko Canada
Una evangelical na Jews wrote hawa wanaushawishi na hawapendi uislamu marekan udin upo sana, ndo maana Ben Carson alisema muislamu hawez kuwa rais marekani
 
Sir naona umeandika uzi wako kinazi zaidi.
U.S.A ni sehemu ambako Canadians wanatamani sana kuishi kwa sababu ya greenest places pamoja na jua baadhi ya maeneo kama California.

Canada jua ni la kuotea, uzuri wa miji uliyoitaja ya Canada haiwezi kuifikia uliyoitaja ya U.S.A. in terms of infrastructures.

Uzuri wa Canada
Uzuri wa Canada ni uwepo wa gun violence chache, Afya bure, uvumilivu wa kiimani na elimu za degree's bei chee!

Ubaya wa Canada
1. Kodi ni kubwa hujawahi ona.
2. Baridi kali sana
3. Uwepo wa wakimbizi wengi.

4. Uwepo wa ubaguzi baina ya wenye nchi yao pamoja na wahamiaji.
Kwenye hili wanaopata sana tabu ni waarabu.
U.S.A baby
U.S.A Gun violence za kutosha huwezi kutembea hovyohovyo baadhi ya maeneo nyakati za usiku hasa maeneo yenye ghettos kama ulivyosema.
Bei ya kusoma degree's ni ghali sana, na udini wakutosha.
Wewe nimekufatiria michango yako kwenye mada mbalimbali, ninegundua wewe ni mtu unaye penda kuwahamisha watu kwenye lengo la mada, sijui ni kutojua au ni makusudi.
Mtoa mada ameongelea uzuri wa miji kutokuwa na makazi duni,na wala sijaona mtoa mada alipo ongelea gharama za maisha au hali ya hewa za nchi hizo kwa hiyo unapo kuwa unatoa michango uwe unajikita kwenye mada inavyo sema.
 
America huwezi kuwa Rais bila kuwa na dini na tena iwe Ukristo.
Americans hawawapendi kweli kweli Waislamu ambao ni minority haijalishi anatoka wapi ila Canada haina shida ndio maana wengi wanakimbilia.

Omar wa Democratic hawezi kurejea tena bungeni na waliomchagua wanajuta sasa, kauli anazotoa na anayoyafanya ni kama yanapigia mstari au kuhalalisha chuki za Americans dhidi ya Waislamu

Kama kawaida unawafahamu wasomali sio socialites waga ni wao kwa wao tu popote duniani hata kuoana ni wao kwa wao sasa ndiyo anayoyafanya yanachafua mpaka image ya dini yake.
America udini upo mbele sana kuliko Canada
Suala la udini lipo dunia nzima na wala si marekani tu ,taifa lolote duniani mifumo ya utawala huwa nawapendelea walio wengi.
Mfano mzuri ni malasia waislam ni asilimia 65 tu na asilimia zilizo baki ni dini nyingine zikiwemo ukristo na dini nyinginezo, lakini tangu kuasisiwa taifa hilo hakuna rais kutoka dini nyingine tofauti na muislam amewahi kuitawala malasia ,pamoja na kwamba dini nyinginezo ni asilimia zaidi ya 35,sembuse marekani ambapo waislamu ni asilimia3 tu ya raia wote marekani kama sikosei?.
Kama ambavyo muislamu hawezi kuwa rais wa marekani na nchi zingine za kimbaghari,basi na mkirsto hawezi kuwa rais wa mataifa kama Uturuki,Iran,misri,indonesia,saudia na mataifa yote ambapo wakirsito ni asilimia ndogo.
Mfano mwingine ni china asilimia kubwa ni wabudha kwa hiyo haitawezekana habadani kutawaliwa na muislam au mkiristo.
Sema kuna nchi baadhi yamejitahidi kugawa madaraka kwa usawa mfano ni singapor na Rebanoni.
 
Wewe nimekufatiria michango yako kwenye mada mbalimbali, ninegundua wewe ni mtu unaye penda kuwahamisha watu kwenye lengo la mada, sijui ni kutojua au ni makusudi.
Mtoa mada ameongelea uzuri wa miji kutokuwa na makazi duni,na wala sijaona mtoa mada alipo ongelea gharama za maisha au hali ya hewa za nchi hizo kwa hiyo unapo kuwa unatoa michango uwe unajikita kwenye mada inavyo sema.
Ni type za wale tunawaita "everything i know"
Yaan unakuta kasaidiwa na google au story za anko wake basi anajifanya anajua ndio maana anaenda nje ya mada.
 
Back
Top Bottom